Yani Kenya watakuja kutumia Rasilimali ZETU kutajirisha nchi yao alafu sisi serikal yetu inafuraia Ajira za mishahara ya laki laki yani kwenye Rasilimali ZETU tunapata asilimia 1% ya 100 alafu 99% zinaenda Kenya kwa kutupoza wanasema tukauze maind [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We kichaa Yosef Festo heb taja bidhaa ya kiwandani ya chakula inayoijulikana EA ambayo ni kenyan made 😂😂😂. We jamaa ni zuzu sana .. hakuna hata bidhaa yenu moja inayoijulikana kulinganisha na bidhaa za viwandani bongo, ni vichekesho na kujiwehushaHamuna kende ata kidogo ni domo domo, kama mko na uwezo si mgefungua tupatane uso kwa uso, mko ovyo hakuna chenye unaniambia wewe😂😂😂., na bado tutawatafuna, wakulima wanaleta mazao yao kwa bei uchwara, raw materials pia, we process into finished goods and export as made in Kenya and make dollars, idiots!😂😂😂😂 Mumeingia box kirahisi sana!😂😂😂
Ila wew jamaa wewe dah .. unanichekesha sana 😂😂😂 sasa bidhaa za kenya popular ziko wapi mbona hata hazijulikani, soko la EA nowadays lote limetamalaki bidhaa zetu.. yani tuna brand kubwa kichele ambazo bidhaa zake ndio bidhaa popular Africa na ndio zinatumiwa sana we ar no longer exporting raw materials, kama ni mahindi,vitunguu sijui hivyo ni vyakula ambavyo nyinyi mnatununuza ili mule not otherwise 😂😂😂 kwa viwanda vya uzalishaji nowdays hamtuwezi, mkibisha tunakuja kwenye battle la viwanda tuone Kati ya sisi na nyinyi nani anauza raw materials kudadeki .. twende kazi, bidhaa uone leo tunavyowaaibishaHatutaki kukuja into poverty stricken country, tunataka mlete raw materials haraka upesi., Kaeni huko huko kwa poverty na low life., superstition and mediocrity.., naah we don't want., It is your resources we are after not your country, get it clear, and we have them💪😝😅😅😅
Najua ulikua hujazaliwa wewe vazi la michael jackson👇👇👇🤣🤣Hmm, yako kweli umedhihirisha wazi, sijui nikuweke kundi gani, vichaa...... Ni yako hii ni 0.8% ya bongo zako.
Kweli mna mambo
View attachment 1774752
Najiuliza Jpm asinge nunua ndege[emoji38]
30yrs chinnese project🤣🤣🤣 ukitaka upite dondoa 1750ksh upite huna hakuna kupita 😁😁😁😁😁Expressway Westlands,hii ata kulipa 100yrs naweza,,kitu safi ,😋😋😜😜😜😂😂
View attachment 1774955
View attachment 1774957
🤣🤣🤣🤣🤣 funga acc sasa unasubiri nn😂😂😂😂Lia hadi basi., Mombasa sio Dar , ukipata nyumba ya tope in that area hapo nafunga account., Dar is slum in EAC😂😂😂., vumilia na usonge mbele, Kiswahili punguza, wacha picha ijiongelee.,
Roho mbaya duniani ilizaliwa kenya hilo liko wazi 🤣🤣🤣🤣Watu wa roho mbaya ni watanzania, wengi wamenuna, as we appreciate, mko ovyo vichwani., Kenya is a big brother Tanzania is a whining baby😂😂😂😂., jiangalie kwanza, chunguza vile raiya wenu na viongozi wanavyofikiria😂😂😂, pole bro, hii tabia yenu sio laana ni ujinga tu, na dawa iko.,😂😂😂.,
Akojoe alale kwanza 🤣🤣🤣 akiamka aje tuongeeUmeona tayari😂😂😂., mwenzako kaudhika anataka ukojoe ulale😂😂😂😂 ichoboy01 😂😂😂
Mbona mulizuia mazao boarder sasa na sasa mbona mumeyarushusu kama hatuwalishi nyinyi mafala 😂😂👇👇👇👇An idiot again exposes ignorance😂😂😂, jiulize ni siku gani Tanzania ililisha Kenya?., Yaani mlivuna mkatupa bure..,😂😂., ama mkatoa msaada.,😂😂 Mko ovyo kila sector, uwezo hamuna wakulima ndio fukara zaidi😂😂😂 tusiponunua hawawezi kuvaa chupi, pesa ya kunua sukari na sabuni watatoa wapi?., Taifa ni kama linaishi chini ya laana😂😂😂., many resources but zero productivity 😂😂😂., jichunguze wewe mkorofi😂😂😂😂., wacha nikucheke tu, uko very desperate kutetea maiti(Tz)😂😂😂
Hahah eti small portion ya westland hahaha nimecheka sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Upper Hill and a small section of Westlands..
3 year's agoView attachment 1775024
Huyo ni kilaza wa aina yake kenya nzima hana tofaut na huyu dada komora096 🤣🤣🤣Ila wew jamaa wewe dah .. unanichekesha sana 😂😂😂 sasa bidhaa za kenya popular ziko wapi mbona hata hazijulikani, soko la EA nowadays lote limetamalaki bidhaa zetu.. yani tuna brand kubwa kichele ambazo bidhaa zake ndio bidhaa popular Africa na ndio zinatumiwa sana we ar no longer exporting raw materials, kama ni mahindi,vitunguu sijui hivyo ni vyakula ambavyo nyinyi mnatununuza ili mule not otherwise 😂😂😂 kwa viwanda vya uzalishaji nowdays hamtuwezi, mkibisha tunakuja kwenye battle la viwanda tuone Kati ya sisi na nyinyi nani anauza raw materials kudadeki .. twende kazi, bidhaa uone leo tunavyowaaibisha
Muulize ni raw marerial gani sisi tunawauzia na wao wanazalisha nn akikujibu nitag 🤣🤣Oya wa tz huyu mjomba Yosef Festo kadai eti tunawauzia raw materials wao wanazalisha finished goods then wanauza mbele 😂😂😂 sasa leo hii ni kuwaonyesha kwamba hata kwenye viwanda (vya kuzalisha chakula na vinywaji) tulishawapita mbali sana. Bidhaa za shambani zinazoenda kwao ni extra huku kwetu, zimetosha kula na pia zimetosheleza viwanda vyetu, so ziada ndio tunawapelekea