Pia democracy ni ghali sana, ichaguzi hugharimu pesa nyingi sana ambazo kwa miaka 10 laiti zingewekwa zingesaidia kufanya mapinduzi makubwa sana kiuchumi na huduma za kijamii
Badala ya kufanya uchaguzi wa viongozi nchi mzima ni bora tungeajiri viongozi kwa mfumo madhubuti wa usahili kwendana na elimu na uzoefu then kuwe na chombo madhubuti kinachowafuatilia utendaji kazi wao na kiwe na mamlaka ya kimfukuza kazi na kumshtaki pale atakapokwenda kinyume na maadili ya kazi na kutenda makosa na miiko ya kazi.
Tatizo Africa akili zipo kwa wazungu