Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Mtafutie ile game iko na Nganya za ronga ndani! 🤣Lakini mwishowe polisi akaweka wazungu ama wako tele lazyland ???😂😂😂😂
Mtafutie ile game iko na Nganya za ronga ndani! 🤣Lakini mwishowe polisi akaweka wazungu ama wako tele lazyland ???😂😂😂😂
Wapili nani from EA hebu nipe info.Nani amekwambia yeye ndo wakwanza??
Msalaba unaowaumiza kuliko ule wa golgotha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Msalaba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Kiasi Fulani nakubaliana na wewe hapa. Sekta binafsi Tanzania sio kubwa kama Kenya. Na hata hivyo skyscrapers nyingi Dar zilikuwa proposed wakati wa Kikwete. Ila ni kweli kuwa miradi ya serikali ya real estate imepata ajali. Angalieni hata ile 5 star hotel ya Mwanza inayojengwa na NSSF! Jengo mpaka leo halijaisha!Towers karibia zote Kenya zinajengwa na private sector, wakati wa boom ya majengo marefu Tanzania kipindi cha Kikwete mingi ilikua miradi ya NSSF na NHC.
Kwamba game ya nyoka [emoji216] izidi ets2, hivi unaijua ets2 au unaropoka tu, hiyo game katuni ushawahi wekwa humu na tukacheka sana na haiwezi kuwekwa tena humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtafutie ile game iko na Nganya za ronga ndani! [emoji1787]
Tumefanya kitambo, na tuna upgrade bado. Nyinyi ndio mwanzo, bado sana. 😂 😂 😂Kwamba game ya nyoka [emoji216] izidi ets2, hivi unaijua ets2 au unaropoka tu, hiyo game katuni ushawahi wekwa humu na tukacheka sana na haiwezi kuwekwa tena humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka evidence tuone mana hiyo niliyoweka ni the latest na hakuna hapa EA kitu km hiyo.Tumefanya kitambo, na tuna upgrade bado. Nyinyi ndio mwanzo, bado sana. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inavyovkueashaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unajiskiaje[emoji39][emoji39]Msalaba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alaaa! dunia isimame ni shuke😂😂😂 nimekudharau sana😁😁 london gani hii???Arusha in 1940s
It got London taste by then more than 1970s Nairobi, so Nyerere came from the very developed 'London' way back.
So you can Imagine if this was Arusha by then how was Dar?
View attachment 1769237View attachment 1769238View attachment 1769239View attachment 1769241View attachment 1769242View attachment 1769243
Msalaba ⛪⛪⛪Inavyovkueashaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unajiskiaje[emoji39][emoji39]View attachment 1769293
Naona ushakubali kwamba ni msalaba👍Msalaba unaowaumiza kuliko ule wa Sinai [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba umeumia au nikuongeze, hii kitu inaitwa 3level hamtawahi pata mpk Yesu anarud[emoji116][emoji116]Naona ushakubali kwamba ni msalaba[emoji106]
Is this safaricom ???🤣🤣🤣🤣Hii hapa mzee baba[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Nikienda mashinani ni mambo na kujiunga mara mbili tu natulia na 60GB kw wiki zangu mbili tatu wala sina tatizo kw ksh2k tuView attachment 1768346
Asante kwa render 🤣🤣🤣🤣🤣Its okay young man. Now you can go collect a price, you have won.
But let me share the Outerring ORR when you visit you don't loose your way.
Also watch the video to get a better perspective. View attachment 1768599View attachment 1768601
Ukimaanisha ??? Kwamba umeona slum yani mzungu aweke sattelite ya mabilioni asione alaf uone wewe 😂😂😂😂Picha za upande, naleta aerial pic, save hio pia. Buahahaha😂😂😂View attachment 1768667
Hio inaitwa three level ukipata kenya nzima nitag nifunge acc sasa hvi 🤣🤣🤣🤣Kiflyover cha mita mia moja, kimechoka mbaya😂😂View attachment 1768694
Kwa hio mzungu akisema uchore saba utachora sio😂😂😂🍆Ukimaanisha ??? Kwamba umeona slum yani mzungu aweke sattelite ya mabilioni asione alaf uone wewe 😂😂😂😂
Siku utapata slum nitag ili nijue leo mzungu hana akili kuliko wewe🤣🤣🤣🤣Kwa hio mzungu akisema uchore saba utachora sio😂😂😂🍆