Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_1619978326.459069.jpg
IMG_1619978339.729664.jpg
 
Wacha upumbavu unless unajua minerals that Tanzania has too! Aside gold, diamonds and tanzanite and few gemstones! Most minerals around 99% r laying below the ground! Right now nickel, titanium, graphite n strategic metals like manganese, Nobium, coltan n Helium, r being worked out because they r needed for electric cars!
Na sjakataa TZ ziko Minerals,Pia Kenya ziko,Almost all Africa Countries pia Ziko Minerals,People are now taking serious Minerals si kama Kitambo
 
Siyo za diesel,design ya kisasa.only modern sgr in East afrika.
Nani kakwambia yetu haiwezi kuwekwa Stima,aki ya Nani TZ ni Mabongolala,SGR yetu inaweza enda na Diesel ama Stima,tukitaka tutafix polls za Stima it's just that Simple🤣🤣🤣🤣🇰🇪🔥🔥
 
[emoji23][emoji23]hivi hizi nguzo mlijenga kwa ajiri ya train peke yake au mnatarajia kupitisha meli hapo juu[emoji38][emoji38].

msuli tembo matokeo mbu.
Tulijenga ya Kupita Mizigo and Tourism pia😛Yani inapita juu kwa juu kwenye Pori pia🇰🇪🔥🔥
 
Mimi huku nilipo kuna kipindi nilikua nawagonga watoto wa kikamba na kikuyu vibaya mno,na washkaji zangu wakenya huku wenyewe wanatoswa na dada zao lakini kwa sisi wa TZ kama kumsukuma mlevi vile,wanatupenda sana 😀
Let me tell you Hampendwi Mafala,Mtaporwa kila kitu Mkicheza,Cheza na waschana wa Kenya😛🤑
 
Nani kakwambia yetu haiwezi kuwekwa Stima,aki ya Nani TZ ni Mabongolala,SGR yetu inaweza enda na Diesel ama Stima,tukitaka tutafix polls za Stima it's just that Simple🤣🤣🤣🤣🇰🇪🔥🔥
Haiwezi na haitakua mpaka yesu ashuke 🤣🤣 ridhikeni na kitu mulichopata kwa sasa
ila mchina mbinguni haingii😂😂😂
26802188-135C-4703-BED3-2FA5E29EC48D.jpeg
 
Back
Top Bottom