Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
. What's going on in South Africa.? 😢
Bora umejishtukia maana hili jukwaa si mahali sahihi wewe kuwepo.Guys, it’s very toxic kama nitaendelea “kuwakwaza” kwa maoni yangu ambayo ni kinyume na yenu.
Birds of a feather flock together. Kwa hiyo siwezi kujihusisha na watu ambao clearly hatufanani mawazo.
Ni vyema kama nikiwaacha muendelee na “uzalendo” wenu.
Nina mambo Mengi tu ya kuni-keep busy kila siku kuliko kukwazana na “wazalendo”
Kwa hiyo hii ni kwaheri. Sio kama enzi zile, no. This time I’m not coming back.
Kwa jinsi hii nchi ilivyo kwa sasa ni ngumu kuwa na mawazo tofauti na wengi
Wenu na bado nikachukuliwa kama mtu mwenye akili timamu. Wengine hadi mnasema mimi sio mzalendo.
Tafakarini maana ya uzalendo kabla ya kulitumia Hilo neno kila wakati. Uzalendo sio kufanana kifikra, Bali ni mapenzi kwa nchi yako kwa Hali na Mali, hata kama mawazo yako hayatafanana na wengi.
Haya, kwaherini.
I feel you bro. Acha tuonekane washamba na primitive. Corona, nzige, Jobo & Magufuli ni ishara tosha kuwa we are blessed. Lower GDP ila huwezi sikia ati kuna njaa. Ukiielewa vema Tz hutoacha kuisemea. Sema kuna brainwashed maggots huwa zinakera sana.Wataalamu wanasema ulitoka upepo kusikojulikana ukaenda kukifukuzia mbali kimbunga Jobo, hii nchi ni zaidi ya tunavyoijua, leo hii Wakenya na dunia kwa ujumla hawaamini kwamba hii nchi ni blessed, Magufuli alitamani kuieleza dunia kwamba hii nchi ni ya namna gn wakamfanya wanavyojua wao (kwasababu nafsi yangu inagoma kabisa kuamini) sasa watz wazalendo tuzidi kuisemea mema nchi hii, tuwaambie hawa wasoijua kwamba hii nchi ni ya namna gn mpk waelewe, hakuna kurudi nyuma kamwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipi kina make sense zaidi kwako? Kifungu au yale uyaonayo kwa macho yako?Nipe kifungu! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Githeri inatia watu mimba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pia democracy ni ghali sana, ichaguzi hugharimu pesa nyingi sana ambazo kwa miaka 10 laiti zingewekwa zingesaidia kufanya mapinduzi makubwa sana kiuchumi na huduma za kijamiiHakuna democracy kwenye umaskini, tuondoe kwanza umaskini ndo tushughurike na democracy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia democracy ni ghali sana, ichaguzi hugharimu pesa nyingi sana ambazo kwa miaka 10 laiti zingewekwa zingesaidia kufanya mapinduzi makubwa sana kiuchumi na huduma za kijamiiHakuna democracy kwenye umaskini, tuondoe kwanza umaskini ndo tushughurike na democracy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna chochote,, bridge hii ni same tu na zile za SGR Kenya,,same height and width,,but kwa length tunayo 6kkikihboy hii ni wami bridge 512m 👇👇
View attachment 1770510View attachment 1770511View attachment 1770512
Kifungu!Kipi kina make sense zaidi kwako? Kifungu au yale uyaonayo kwa macho yako?
Compare uone the mighty SGR Kenya bridges na hako ka 1GB 😂😂😂Hakuna chochote,, bridge hii ni same tu na zile za SGR Kenya,,same height and width,,but kwa length tunayo 6k
Typically 1950s TAZARACompare uone the mighty SGR Kenya bridges na hako ka 1GB 😂😂😂View attachment 1770716View attachment 1770717View attachment 1770718
All furniture made by TanzaniansPriceless transformation
Tanzanians brains at work
View attachment 1770699View attachment 1770700View attachment 1770701
View attachment 1770696
He meant the two Republican and Democrat r factions that came from 1 party called Grand Old Party!Electoral College got more power on US general elections than total votes 😂😂😂
View attachment 1770202
Two of them Republic and Democrat only 😂😂😂
Fake democracy as African gucci🤣🤣🤣
Therefore 1 party state 😁He meant the two Republican and Democrat r factions that came from 1 party called Grand Old Party!