passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,803
- 13,034
Nyie wote si ni walewale corrupted countries.subiri muone za Tz.Nigeria Juzi wamenunua 20 SGR Trains Kama Zetu,Unathani Nigeria Haina pesa ya kununua bullet Train.
Nyie wote si ni walewale corrupted countries.subiri muone za Tz.Nigeria Juzi wamenunua 20 SGR Trains Kama Zetu,Unathani Nigeria Haina pesa ya kununua bullet Train.
Tumeshindwa au tunajenga most modern sgr in afrika Sisi hatuwezi kujenga upuuzi kama wa Kenya dunia ishatoka huko.Ni watu wa wivu Mingi tangu jadi,wakishindwa kufanya kitu wanasema Ni kibaya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wanabaki kupiga Mushenee mingi online!Haiwezi na haitakua mpaka yesu ashuke 🤣🤣 ridhikeni na kitu mulichopata kwa sasa
ila mchina mbinguni haingii😂😂😂
View attachment 1771613
Acha hasira haitadaidia 🤣🤣🤣🤣Bongolala pia Babu zenu walisemanga hivo😛 Mkishindwa kufanya kitu munaingilia hiyo hiyo kitu,Kama hamna hamna and just agree your Country is a shitty Holy country
Ndio maana halisi ya failed state🤣🤣yani in 2021, kuna nchi watu wake wanaface starvation?[emoji849]
Aliekudanganya nani mama ngina 🤣🤣🤣 bahat nzuri sisi ni watanzania tunawajua mpaka chupi zenu za ndani, hapa sio nairalandFortunately it is not a render my guy, complete and in use.
Nope....are part of this battleFungua a new thread out of this.,
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
MY TAKE
kwa ufupi ni kwamba hii gari itakuwa iliendeshwa na unauthorized driver possibly iliibiwa asijue to unlock the security measures kitu kikazima jamaa akajaribu akashindwa ikabidi akimbie aiache GPS locator itaikuta hii gari safe and sound! ukiwa jambazi inabidi uwe GPS gick pia magari ya siku hizo yanahitaji ku-disable GPS tracking system!
Kwa madhambi haya ambayo mChina amemfanyia mkenya. Kwa mamlaka niliyopewa jina lake lisipatikane kwenye makavazi kote kote hapa Afrika.Haiwezi na haitakua mpaka yesu ashuke 🤣🤣 ridhikeni na kitu mulichopata kwa sasa
ila mchina mbinguni haingii😂😂😂
View attachment 1771613
Mzee gari kama hiyo inapozima hupiga alarm na hata kuji-lock na akili inayokujia ni kusepa! Maana inakuwa kama unafuatwa! nadhani unajua ninachoongea yaani hapo unakuwa unajaribu kutoka nduki kukimbia umati! Hapo mwenye gari anaweza kuwa kaizima tena kwa kutumia simu! na mind u hidden cameras zinaweza zikawa zime-record tayari!kashindwa kupanga deal na bodaboda mmoja hao hata wachomoe matyres?[emoji849][emoji23]
ingia youtube utaoona security systems za ku-prevent wizi wa magari! yaani wezi wa magari inabidi wajipange pia!Mzee gari kama hiyo inapozima hupiga alarm na hata kuji-lock na akili inayokujia ni kusepa! Maana inakuwa kama unafuatwa! nadhani unajua ninachoongea yaani hapo unakuwa unajaribu kutoka nduki kukimbia umati! Hapo mwenye gari anaweza kuwa kaizima tena kwa kutumia simu! na mind u hidden cameras zinaweza zikawa zime-record tayari!
wataalam wa uchumi hii imekaa poa kusajiliwa UK?
kwa mtazamo wangu naona hapa M7 kazingua