Si hatujui mpira wacha wanaojua wautumie, wachezaji wanapewa kila kitu hakuna kelele za kutolipwa mishahara kwa wachezaji yn kila kitu wanapewa lkn wanashindwa ku deliver, tena wakati mwingine tunacheza na watu wenye njaa kabisa lkn tunashindwa kuwafunga, wacha wanaojua wautumie tu mkuu. Sisi tubaki na ligi tu ila national team ni upuuzi mtupu.
MY TAKE
Roho inauma badala ya sie kuutumia kwenye World Cup Qualifiers tunaukodisha kwa vile hatumo kwenye qualifiers! [emoji2297]
Umejikatia tamaa sio? Kumbuka Spain nao walisota sana mpaka kushinda World cup!Si hatujui mpira wacha wanaojua wautumie, wachezaji wanapewa kila kitu hakuna kelele za kutolipwa mishahara kwa wachezaji yn kila kitu wanapewa lkn wanashindwa ku deliver, tena wakati mwingine tunacheza na watu wenye njaa kabisa lkn tunashindwa kuwafunga, wacha wanaojua wautumie tu mkuu. Sisi tubaki na ligi tu ila national team ni upuuzi mtupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mkenya kishawahi kuniomba nimfanyie mpango apate pasi ya Tanzania,halafu ukija humu unawakuta wakunya wanachonga balaa,sidhani kama kuna Mtanzania ana nia ya kumiliki pasi ya kunyalandIwe na restriction dhidi ya mbwa toka jirani! Hiyo ni damu chafu!
Taifa stars inakera sana hawabadiliki, kila siku ni wale wale, wanapewa kila kitu aisee lkn tukija uwanjani ni Madudu mtindo mmoja.Umejikatia tamaa sio? Kumbuka Spain nao walisota sana mpaka kushinda World cup!
90% ya Wakenya wana wish kuwa Watz usione hawa wa humu wanajifanya kutunisha misuli lkn wao pia wangependa kuwa Watz. Nani asiyependa kuishi nchi ambayo haina vita, haina ukabila, haina madhoruba dhoruba ya kidunia, yenye mshikamano na upendo km hii?Kuna mkenya kishawahi kuniomba nimfanyie mpango apate pasi ya Tanzania,halafu ukija humu unawakuta wakunya wanachonga balaa,sidhani kama kuna Mtanzania ana nia ya kumiliki pasi ya kunyaland
Ila hii ngoma imeinuliwa si mchezo aisee.kikihboy hii ni wami bridge 512m [emoji116][emoji116]
View attachment 1770510View attachment 1770511View attachment 1770512
Nonsense
Nonsense are those muddy roads with potholes everywhere.Nonsense
90% ya Wakenya wana wish kuwa Watz usione hawa wa humu wanajifanya kutunisha misuli lkn wao pia wangependa kuwa Watz. Nani asiyependa kuishi nchi ambayo haina vita, haina ukabila, haina madhoruba dhoruba ya kidunia, yenye mshikamano na upendo km hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema kila mahali sasa tuoneshe.unawaaibisha wakenya wenzako Kwa kukosa akili.
Mimi huku nilipo kuna kipindi nilikua nawagonga watoto wa kikamba na kikuyu vibaya mno,na washkaji zangu wakenya huku wenyewe wanatoswa na dada zao lakini kwa sisi wa TZ kama kumsukuma mlevi vile,wanatupenda sana 😀🤣🤣🤣
Umenikumbusha kipindi fulani nilikutana na binti mmoja wa kikenya analimishia urafiki, alivyoona sizimikii. Ikabidi afunguke na kusema basi anaomba nimpe mtoto. Sababu ni kuwa anapenda sana damu ya Tanzania.
😁😀😁
Mkuu...hawa Si wazee wabobezi wa demokrasia EA?.....Sasa wanalialia nini?
Hawa ni wanafiki siku zote hata JPM alipewa reception ya namna hiyo! Ni pale walipogundua yupo kwa interest za Tanzania kwanza. Samia kashasema hana tofauti na JPM!
Wacha upumbavu hatuning'inizi steel structure on top kama nyie! Hii yenu ni kama ya TAZARA!Compare uone the mighty SGR Kenya bridges na hako ka 1GB 😂😂😂View attachment 1770716View attachment 1770717View attachment 1770718
Mimi huku nilipo kuna kipindi nilikua nawagonga watoto wa kikamba na kikuyu vibaya mno,na washkaji zangu wakenya huku wenyewe wanatoswa na dada zao lakini kwa sisi wa TZ kama kumsukuma mlevi vile,wanatupenda sana 😀
Story za vijiweni ushazileta JF, wadanganye wenzio tu kwa comedy hizo! 🤣 🤣 🤣🤣🤣🤣
Umenikumbusha kipindi fulani nilikutana na binti mmoja wa kikenya analazimishia urafiki, alivyoona sizimikii. Ikabidi afunguke na kusema basi anaomba nimpe mtoto. Sababu ni kuwa anapenda sana damu ya Tanzania.
😁😀😁
Duh, ifungulie uzi hii, maana chai ya moto isiyo sukari! 🤣 🤣 🤣Mimi huku nilipo kuna kipindi nilikua nawagonga watoto wa kikamba na kikuyu vibaya mno,na washkaji zangu wakenya huku wenyewe wanatoswa na dada zao lakini kwa sisi wa TZ kama kumsukuma mlevi vile,wanatupenda sana 😀