Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Let me tell you Hampendwi Mafala,Mtaporwa kila kitu Mkicheza,Cheza na waschana wa Kenya😛🤑
Judith kinyua,mtoto meno yote yameoza,nilikua nafaidi sana aisee,alikua anawatosa kaka zake wa kimungiki but akifika kwa mbongo anakuambia "ati vile nawapenda wabongo sababu kiswahili yenu then na mko romantic"
 
Pilot boat ndio kitu ya kujisifia wakat sisi tunatengeZA MELI kubwa east africa MV mwanza 🤣🤣🤣🤣
Acha kujibishana nao hao mabwege,as U know me ni capt na kipindi niko 3rd officer nishaenda sana hapo seco na african marine,hizo shipyard ni za wahindi na wataliano,wakenya wananyanyasika hapo hadi huruma,nawaangalia wanavyodai wanaunda meli hapo,napajua vizuri sana,kitu kingine wabongo hatujui tu kama sekta ya bahari mungiki awatufikii hata kidogo,siku yake nenda pale DMI uone wanafunzi toka kunyaland,jamaa hawana chuo cha ubaharia,ukiona baharia yoyote wa kenya basi anatumia vyeti vya Tanzania
 
Nani kakwambia yetu haiwezi kuwekwa Stima,aki ya Nani TZ ni Mabongolala,SGR yetu inaweza enda na Diesel ama Stima,tukitaka tutafix polls za Stima it's just that Simple[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1139][emoji91][emoji91]
Mbona haijawekwa watu sasa hivi watu wanahamia kwenye umeme mpaka kwenye magari nyie mpo diesel.jiandae kuiona sasa muundo wa kisasa wa treni zetu.it is not simple ndo maana mmeshindwa kujenga treni ya umeme.failed country
 
Judith kinyua,mtoto meno yote yameoza,nilikua nafaidi sana aisee,alikua anawatosa kaka zake wa kimungiki but akifika kwa mbongo anakuambia "ati vile nawapenda wabongo sababu kiswahili yenu then na mko romantic"
I always see Tanzanians in Kenya na Nyinyi Ni Mafala,Mtanzania anaweza pewa kazi ya kuuza Viatu Kenya Msichana Mkenya amkamue mahahara Nusu Akithani anapendwa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Acha kujibishana nao hao mabwege,as U know me ni capt na kipindi niko 3rd officer nishaenda sana hapo seco na african marine,hizo shipyard ni za wahindi na wataliano,wakenya wananyanyasika hapo hadi huruma,nawaangalia wanavyodai wanaunda meli hapo,napajua vizuri sana,kitu kingine wabongo hatujui lakini sekta ya bahari mungiki awatufikii hata kidogo,siku yake nenda pale DMI uone wanafunzi toka kunyaland,jamaa hawana chuo cha ubaharia,ukiona baharia yoyote wa kenya basi anatumia vyeti vya Tanzania
Kwnye maneno 100 ya mkenya chukua 1 uondoke 🤣🤣🤣🤣
 
Mbona haijawekwa watu sasa hivi watu wanahamia kwenye umeme mpaka kwenye magari nyie mpo diesel.jiandae kuiona sasa muundo wa kisasa wa treni zetu.it is not simple ndo maana mmeshindwa kujenga treni ya umeme.failed country
Unathani Nigeria iko na Treni za Stima ngapi na mbona wanalia Ni loss project, Mpaka wamenunua SGR ishirini Kama Zetu Juzi kwa kuona ubora wake.It can carry Double stack and can run on Diesel and Electricity 🇰🇪🔥🔥🔥🔥
 
So kama nigeria wamefeli kwani kenya wamepatia mbona bado inaendesha loss hio diesel lomotives zenu au???🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom