Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Ila wewe kilaza ni special case

Ungesubiri nikutatue [emoji1787]
Mataga hamjambo[emoji2960][emoji2960]
Hoja kwisha sasa mumebaki na khanga zenu viunoni tu kw ajili ya unenguaji..
 
Mnenguaji venus[emoji23][emoji23]
Kw ubunifu nyoe bado sana ndio manake linapokuja swala faida kampuni zetu zinawachapa kiwango cha ubakajiView attachment 1767799
Mzee huo ni ushamba mambo ya expiry tulishayaacha 2014. Kila kitu sisi unachokifanya no expiry.
Screenshot_20210429-181910.png
 
A honest observation, reality kwa ground. Possibly economic and political factors, propaganda can't grow a country. My hypothesis.
What about dodoma investments 🤣🤣 huulizi hio kuna zaidi ya 1.5b usd imelala pale
 
Thank you for the post, in total Kenya is ranked fourth in Africa, behind SA, Egypt and Nigeria.,
Nairobi alone is ranked sixth., Where is Tanzania? Leave out Dar, it is the only place in Tz where u can find serious billionaires, nchi ni fukara, 😂😅😅😅, next time soma vizuri kwanza. Kila mti mtakwea utateleza mwaka huu😂😂😂😅
Vp kuhusu dollar billionare btn tanzania and kenya ??? 😀😀😀 yani nchi nzima billionares wamejirundika nairobi wakat tanzania kuna billionares wengi kuliko kenya na wametapakaa nchi zima
 
Bwahahaa[emoji23][emoji23]
Telkom kw sasa wana wateja lukuki we kumbe unaumwa, watu sai wanatumia telkom balaa km hujui..
Telkom wana mpka 4g network alafu we unakuja kupiga kelele hapa


Mtu kenya hakosi safaricom kw sababu ya mpesa tu
Kenya mtandao ni safaricom waliobakia wote kwangu pakavu tia mchuzi na facts zinaangalia kwenye mitandao ya watu wengi ndio wanapotafuta statistics kenge wewe
 
Back
Top Bottom