President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,107
- 93,529
Fiber Network Tanzania. Leta ya kwako ya KenyaMkuu Venus Star sekta ya telecomunications tumewazidi kw karibia kila kitu..
*Ubunifu
*Huduma bora
*Miundombinu bora(mitandao)n.k
Fiber Network Tanzania. Leta ya kwako ya KenyaMkuu Venus Star sekta ya telecomunications tumewazidi kw karibia kila kitu..
*Ubunifu
*Huduma bora
*Miundombinu bora(mitandao)n.k
kuna mwenzenu alikuwa anazungumzia night offers.Na Airtel 100mb Ksh 10 at times.,
😂😂😂😂😂😂 is that a threat? Am I supposed to be scared? Na mkiniweka kwenye kundi la “maadui” mnafaidika nini? Wewe ni mtu mzima na una mambo ya kitoto mno. Honestly, feel free to “banish” me. I really have no regrets. I only speak the truth that hypocrites like you do not want to hear.Siwezi nikaacha Mzee kama unataka hivyo kuna PM mtumie mtu unayetaka akueleweshe.
Mzee unatakiwa uelewe. Amka mzee, mimi nakuelekeza tu kwa upole. Kama hutaki ushauri basi na wewe tunakuweka kundi la adui zetu.
Mzee andika kiswahili. Sikutishi bali ninakukumbusha utaratibu. Hapa tupo kwenye battle. Tuendelee na battle kama wewe umechoka, mzee kuna mambo mengi tu ya kujadili.😂😂😂😂😂😂 is that a threat? Am I supposed to be scared? Na mkiniweka kwenye kundi la “maadui” mnafaidika nini? Wewe ni mtu mzima na una mambo ya kitoto mno. Honestly, feel free to “banish” me. I really have no regrets. I only speak the truth that hypocrites like you do not want to hear.
Internet Data CenterJamaa kabaki na maneno ya kwenye khanga tu sasa, mwenzake kakimbia mada mapema tu..
Eti 1gb ni $2.25, kenya ipi hyo[emoji23]
Labda kenya ya chato
Bado unabwabwaja tu wala sijaona la mana uliloleta zaidi ya maneno tuNdio mama Ngina anakudanganya hivyo. Wewe twende tu battle ya Telecom uone. Ngoja naanza mimi halafu utafuata.
Umeona sasa ulivyokua mbumbumbu, kila kifurushi na bei yake[emoji23][emoji23]Sasa hapo unaongea kitu gani sasa mwenzako kaweka 70mb kwa 10ksh.
Which means
1Gb = 1024MB
simple calculation.
Umeona vile kajibu hii comment yako kw hesabu zake za kichato chato[emoji2960][emoji2960]Na Airtel 100mb Ksh 10 at times.,
Telekom ni 0.9 percent of Kenyas telecommunication business ni kamtandao ka watu 9
Hata kusoma pia umeshindwa[emoji23][emoji23][emoji23]kuna mwenzenu alikuwa anazungumzia night offers.View attachment 1767685
Wewe unaniimbia taarabu.Bado unabwabwaja tu wala sijaona la mana uliloleta zaidi ya maneno tu
Wivu huo sasaTelekom ni 0.9 percent of Kenyas telecommunication business ni kamtandao ka watu 9
Mambo ya kawaida hayo kitenganisha bundles za social media na other channelsNyie watu bado sana, sisi tupo na mpka youtube bundles..ukiingia youtube kifurushi chako hakitumiki mpka labda kiishe kile cha youtube..
Nyie mnasema nini bana, hii sekta kw ubunifu tumewazidi kw mbali snaaView attachment 1767608
Speed test maana yake nini, tuanzie hapo kwanzaWewe unaniimbia taarabu.
Twende kazi nakusubiri Mzee.
Show me your internet speed
Hii hapa ya kwenye simu yangu.View attachment 1767718
Nitumie screenshot ya vifurushi na bei yake, sitaki maneno mimi[emoji23][emoji23]Mambo ya kawaida hayo kitenganisha bundles za social media na other channels
View attachment 1767722
Mb per second mzeee.Speed test maana yake nini, tuanzie hapo kwanza
Hawajielewi hawa mbuzikuna mwenzenu alikuwa anazungumzia night offers.View attachment 1767685
Leta offers za safaricom, usituletee kimtandao cha vichochoroniHata kusoma pia umeshindwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Narudia tena, gb mbili plus gb mbili night data kw ksh100..
Kipi hujaelewa hapo[emoji23][emoji23]
Ukitaka ya night data iko pia 5GB kw ksh50View attachment 1767713View attachment 1767717
😅😅😅 Mtandao wa watu wawiliWivu huo sasa
Kwani huoni bundles hapo na bei?Nitumie screenshot ya vifurushi na bei yake, sitaki maneno mimi[emoji23][emoji23]