Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mpokeaji hazuiliwi kuendelea na shule bali kuna kuna channels kadhaa za hiyo shule (tena ni mbili tu: primari na sekondari za gvt) ambazo kwa ustawi wa jamii yetu hawezi kuruhusiwa kuendelea nazo

Huo “ustawi” wa Jamii unaozungumzia ni upi hasa? Maana Elimu Ndio ustawi wa Jamii na kama watoto hawapewi elimu wanayostahili kuipata huo ustawi unapatakina Vipi?
Source:TAMISEMI MAKETE
 

Attachments

  • Screenshot_20210429-153039.jpg
    Screenshot_20210429-153039.jpg
    77.2 KB · Views: 15
Nataka kuuliza swali moja. Hivi Mbona skyscrapers mpya hazijengwi Dar? Yaani hakuna hata proposed skyscrapers. Yaani hata tetezi ya jengo refu Hamna! Kwa mji unaokua kwa kasi kama Dar, real estate development inatakiwa kuwa hot kwa sasa. Lakini sasa mambo yaliyopo ni kinyume. Kwa nini?
Sera.
Kitu kikubwa kwa sasa ni infrastructures.
1. Maji
2. Barabara
Nk.
Hayo majengo yatajengwa tu. Maana
 
Hiyo interchange ya Ghana ina BRT na ina facility ya BRT stations including DART Parking? Pia kuna madaraja mawili upande wa TBS na Riverside? Je Pedestrian overcrossing? Na kama tungeweka interchange ya Ghana how practical would the public transportation be? Will bus stands remain there? Au sie na mabingwa wa kuropoka bila kuangalia realities?
Kwn ubungo kuna nguzo maalumu za brt lanes
 
Nimfahamu ili iweje? Km ni wewe mwenyewe itanisaidia nn ss, kwn ni ajabu nyie wakunya kumiliki id zaidi ya moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio manake nikasema km unanyezwa sema mzee baba, mbona utakunwa tu eti huna haja ya kutujua lkn una haja ya kujua wamiliki wa ids...we si haba itakua umerogwa.

Mi nilishakupuuzaga kitambo sai ni kwenda nawe unavyostahili tu kuhu hilo
 
Sera.
Kitu kikubwa kwa sasa ni infrastructures.
1. Maji
2. Barabara
Nk.
Hayo majengo yatajengwa tu. Maana
I disagree. Hata real estate ni sekta ya ujenzi kama miundombinu mingine. Na there is no such thing as kusema kuwa “kikubwa sasa ni infrastructures” Maana mji unakua kwa kasi! Dar kwa sasa ina population bomb. Demand ya nyumba, office spaces, retail spaces inazidi kuongezeka by the minute.
 
Nataka kuuliza swali moja. Hivi Mbona skyscrapers mpya hazijengwi Dar? Unlike Nairobi, Dar hakuna hata proposed skyscrapers. Yaani hata tetezi ya jengo refu Hamna! Kwa mji unaokua kwa kasi kama Dar, real estate development inatakiwa kuwa hot kwa sasa. Lakini sasa mambo yaliyopo ni kinyume. Kwa nini?
Hofu mkuu
 
na serikali kuhamia Dodoma imesababisha kutojengwa mapya Dar
Come on, Simon. It’s not like there are skyscrapers being built in Dodoma right now, skyscrapers that were meant to be built in Dar.
 
Mpokeaji hazuiliwi kuendelea na shule bali kuna kuna channels kadhaa za hiyo shule (tena ni mbili tu: primari na sekondari za gvt) ambazo kwa ustawi wa jamii yetu hawezi kuruhusiwa kuendelea nazo

Huo “ustawi” wa Jamii unaozungumzia ni upi hasa? Maana Elimu Ndio ustawi wa Jamii na kama watoto hawapewi elimu wanayostahili kuipata huo ustawi unapatakina Vipi?
Hivyo kwa maslai mapana ya jamii yetu ya kitanzani na kutambua umuhimu wa elimu kwa kila mototo na maadili yetu kwa ujumla...huyu mwanafunzi mjamzito(ni bahati mbaya hakuupanga...ila lazima awajibike) anakuwa na option ya kuendelea na elimu katika mifumo mingine ya elimu huku akiwaacha hawa freshers wasijeiga....na uzuri at the end utonyimwa kazi au nafasi yeyote ya elimu yako kisa ulipitia hii mifumo....na si kila anayeenda huko alikuwa mjamzito....mfano ni namba moja wa tz
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nchi imelaaniwa hata pesa ya kutibu watu wakapona wanakula
 
Waliotoa evidence sio sisi ni shirika kubwa la uingereza sasa unabishana nn hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si ndio nakwambia mi uongo sasa manake wajichekesha tu na wakati ukweli huutaki, yani wewe sijui km utasaidika lini uelimike
 
Back
Top Bottom