Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣 🤣🤣
Screenshot_20210429-171623.png
 
Mzee andika kiswahili. Sikutishi bali ninakukumbusha utaratibu. Hapa tupo kwenye battle. Tuendelee na battle kama wewe umechoka, mzee kuna mambo mengi tu ya kujadili.
Nimekwambia hivi, kama wewe na wengine mkifikia muafaka wa kuniweka kwenye kundi la maadui, Mimi sina shida.

Mimi sijachoka ila hii battle imechoka. Discussions normally Ni zile zile basi tu huwa zinabadilika pale kitu kipya kinapofunguliwa kwenye moja ya hizi nchi mbili.

Na pia kwasababu ya “competition” wengi mnaficha Mabaya yaliyopo kwenye nchi zetu ili tusifedheheshwe. Lengo letu kuu ni kuonekana perfect and better than the other. Lakini the world isn’t black and white! It’s so much more than that!

Kiukweli mimi naona ni heri kutumia jukwaa hili kuonyesha hatua tunazozipiga kama waafrika. Because Compared to the rest of the world, we are still lagging behind. Badly! Tutazozana kuhusu interchange mbili lakini nchi nyingine wana mamia ya interchange.

Hii thread inapaswa kuwa na a higher purpose zaidi ya hizi competition ambazo hazina misingi. Kuna vitu Vipo Kenya ambavyo havipo Tanzania na pia Tanzania kuna vitu ambavyo havipo kenya. Ni heri kutumia huu uzi wenye mamilioni ya utazamaji kuongelea jinsi ya kuendeleza miji yetu, suggestions kuhusu matatizo ya kiuchumi na kijamii yanayokumba hizi nchi zetu na pia kukosoana pale tunapoona makosa tunayofanyiana. Hamtambui jinsi hii thread inavyoweza kuleta manufaa makubwa zaidi ya kutukanana kila siku.

Najua wengi mtanipinga lakini lately that has been the response that I have been receiving from most of you. Lakini tafakarini kiundani zaidi mtaona nipo sawa.
 
Leta offers za safaricom, usituletee kimtandao cha vichochoroni
Bwahahaa[emoji23][emoji23]
Telkom kw sasa wana wateja lukuki we kumbe unaumwa, watu sai wanatumia telkom balaa km hujui..
Telkom wana mpka 4g network alafu we unakuja kupiga kelele hapa


Mtu kenya hakosi safaricom kw sababu ya mpesa tu
 
Hata kusoma pia umeshindwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Narudia tena, gb mbili plus gb mbili night data kw ksh100..
Kipi hujaelewa hapo[emoji23][emoji23]
Ukitaka ya night data iko pia 5GB kw ksh50View attachment 1767713View attachment 1767717
huoni ni kwa ksh 50 hapo,au unawashwa washwa nawewe!!!!

nikiunga 2× hapo ili kupata ksh 100 nitakuwa na 1gb day na 7gb night.
 
huoni ni kwa ksh 50 hapo,au unawashwa washwa nawewe!!!!

nikiunga 2× hapo ili kupata ksh 100 nitakuwa na 1gb day na 7gb night.
Mbona watz mumebaki na maneno tu screenshot hamleti jamani[emoji2960][emoji2960]

Tumana screenshot kutoka kw simu yako km nilivyofanya kwangu
 
Narudia tena, tz ubunifu zero[emoji23][emoji23]
Hivi vitu kwao mwiko..
Km mnapinga kutokee mtanzania aniletee bando la kw ajili ya showmax, youtube na with no expiry date(data, calls &sms)
20210429_175349.jpg
20210429_160803.jpg
20210429_160214.jpg
 
Back
Top Bottom