Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakuu, kuna mahali nimeona taarifa kuwa waziri wa maliasili amerejesha kitaulu cha uwindaji kwa kampuni ya Green Miles Safari Ltd!

Kama hiyo ni kweli basi nchi hii inapatwa kwa kasi kubwa sana na wale tunaoimbea tukazane maana huenda tunarudi tulikokuwa within a very short period.
 
Barabara zipi hua unazifurahia ukitumia hapa Dar na kwann Labda. ...
Binafsi napenda sana Nyerere Road kuanzia Mjini all the way hadi Airport, Ingine nayoipenda ni barabara ya New Bagamoyo road ,Goba road nayo sana tu...Sababu hasa ni mandhari nzuri kila upande ....

New-Bagamoyo road
Goba road...ignore the runner
EL-WfhwXYAAwYz9.jpeg
EL-WfiXXsAAyFXQ.jpeg
MSB-5995.jpg
 
Wakuu, kuna mahali nimeona taarifa kuwa waziri wa maliasili amerejesha kitaulu cha uwindaji kwa kampuni ya Green Miles Safari Ltd!

Kama hiyo ni kweli basi nchi hii inapatwa kwa kasi kubwa sana na wale tunaoimbea tukazane maana huenda tunarudi tulikokuwa within a very short period.
Boss si unajua tena Paka akiondoka Panya hutawala?na wakati Paka yupo watu hua wanamchulia poa...Subiri panya wale watapanye ndo wenye nyumba watashtuka bt then it will be too late.
 
Tufanye hivi. Mind your own damn business. Kama kuna topic ambayo mtu hajakutag au kuku-quote au topic ambayo haiendani na competition ya Dar Vs Nairobi basi pita kama huoni kinachoendelea. Kwasababu huwezi kudictate mtu apost kitu unachotaka wewe!
wacha uchoko kwani wajenzi wa towers Dar wamekatazwa? Mbona individuals wanajenga majengo yao? GoT ipo busy kujenga makazi yake Dodoma!
 
Acha uongo wewe huna hata niche kumi unaropoka.

Wakenya wametufundisha hicho kilimo na kufungua macho

Sisi tulio kwenye field tunajua ,hadi kesho buyer wetu mkuu wa parachichi ni Kenya na hatujawafikia kwa uzalishaji na kutafuta masoko.

Even Uganda serikali yao inawapa Sana sapoti kule Western Uganda wameanza kulima kwa kasi wakati serikali yetu imejaza vikwazo kwenye Mazao na Kazi yao kupiga picha mashamba yetu na kunpost eti Kazi iendelee pumbavu ,wakati hawatusapoti kama wenzetu huko.
Kwa hiyo unataka nami niambatane nawe kwenye ujinga wako siyo! Yaani mwendawazimu upite na kuchukua nguo zangu nikiwa bafuni kisha nitoke nianze kukukimbiza! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Endelea mwenyewe na mbio zako bwana maana hata sijui zinaelekea wapi. Nadhani umeelewa.
 
N

Flyovers nje ya Dar sio kwa sasa, ni ndoto, na huu uchumi wenu hafifu, weak revenue collections, pengine kwa madeni, Ghana wame set standard, but anyway Africa is growing nicely,.
Kama tunajenga Magufuli bridge pale Kigongo Busisi kwa 667bn tunashindwaje kujenga hizo flyover za $45-100m? Hivi huko Kenya shule zenu hufundisha ujinga ee!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asaa hivi ni vya ajabu kumbe mbona bongo tushavichoka kila kona tunavyo mkuu jiheshimu basi
Maneno matupu kwangu hayana nafasi[emoji23][emoji23]
Hapa ni mwendo wa screenshots, au na wewe unafuata mkumbo
 
Back
Top Bottom