Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Si mnaumwa wazee[emoji23][emoji23]
Linapoongelewa swala la mtandao huaga mnabaki na maneno tu bila facts..
Pole sana mjombaView attachment 1767775
Si mnaumwa wazee[emoji23][emoji23]
Linapoongelewa swala la mtandao huaga mnabaki na maneno tu bila facts..
Pole sana mjombaView attachment 1767775
Bwahahaha!!kimbia baba manake hapa mimi sitaki maneno matupu..Tumewapuuza.
That's why i always say Kikwete's government was ten times better than Magu's....kwanzia kwenye uchumi hadi kwenye infrastructure Kikwete aliweza sana.Mambo mengi yameenda kombo toka Magufuli aingie madarakani,eg.. wawekezaji kuikimbia inchi,utekaji,mauji,chuki baina ya wanainchi,uchumi kuporomoka kwa kasi....nkNataka kuuliza swali moja. Hivi Mbona skyscrapers mpya hazijengwi Dar? Unlike Nairobi, Dar hakuna hata proposed skyscrapers. Yaani hata tetezi ya jengo refu Hamna! Kwa mji unaokua kwa kasi kama Dar, real estate development inatakiwa kuwa hot kwa sasa. Lakini sasa mambo yaliyopo ni kinyume. Kwa nini?
Lete screenshot mzee baba, nataka kuona kile ambacho unakitumia na kukiamini..
Mzee huoni unajiaibisha. By the way mimi natumia mobile App kujiunga Internet, huwa situmii USSD. USSD ni primitive people ndio hufanya hivyo.Bwahahaha!!kimbia baba manake hapa mimi sitaki maneno matupu..
Simu unayo tupe screenhsot km hutaki hulazimishwi...
Umuhimu ukweli umepenya
Ushamba ulionao ni extraordinarilyNarudia tena, tz ubunifu zero[emoji23][emoji23]
Hivi vitu kwao mwiko..
Km mnapinga kutokee mtanzania aniletee bando la kw ajili ya showmax, youtube na with no expiry date(data, calls &sms)View attachment 1767777View attachment 1767778View attachment 1767779
Acha ushamba siyo kila mtu anatumia USSD hapa Tanzania. Mitandao michache sana inatumia USSD. Sisi tunatumia APP Mzee. Usitake tufanane Mzee.Lete screenshot mzee baba, nataka kuona kile ambacho unakitumia na kukiamini..
Sio uniletee mitandao ambayo unapewa gb lkn mwendo wa ku buffer[emoji23][emoji23]
Ndio manake mi kw huku sijushughulishi na hata kuitaja airtel kisa wana poor network kw pande zingine za nchi
GB 1 la WhatsApp mnalotapeliwa kwa 5500 kwa week, Tanzania tunapewa GB 6 kwa 5k tu tena kwa mwezi 😅😅😅Lete screenshot mzee baba, nataka kuona kile ambacho unakitumia na kukiamini..
Sio uniletee mitandao ambayo unapewa gb lkn mwendo wa ku buffer[emoji23][emoji23]
Ndio manake mi kw huku sijushughulishi na hata kuitaja airtel kisa wana poor network kw pande zingine za nchi
Hatuna kitu kama gb1 la whatsapp huku, uliskia wapi au uliona wapi..GB 1 la WhatsApp mnalotapeliwa kwa 5500 kwa week, Tanzania tunapewa GB 6 kwa 5k tu tena kwa mwezi [emoji28][emoji28][emoji28]
Ni kilaza wa kutegemewa huko Kenya, yaani yeye yupo kwenye bundles za youtube wakati Tanzania tupo kwenye bundles za Netflix 😅😅😅😅[emoji23] [emoji23] [emoji23] asaa hivi ni vya ajabu kumbe mbona bongo tushavichoka kila kona tunavyo mkuu jiheshimu basi
Nenda uka screenshot mzee baba[emoji23][emoji23]Acha ushamba siyo kila mtu anatumia USSD hapa Tanzania. Mitandao michache sana inatumia USSD. Sisi tunatumia APP Mzee. Usitake tufanane Mzee.
Asietoka nani baina yetu?Hatuna kitu kama gb1 la whatsapp huku, uliskia wapi au uliona wapi..
Emu tuonyeshe hapa leo hamtoki
Tuonyeshe mzee baba[emoji23][emoji23]Ni kilaza wa kutegemewa huko Kenya, yaani yeye yupo kwenye bundles za youtube wakati Tanzania tupo kwenye bundles za Netflix [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hivi kwa akili yako tuogope.Nenda uka screenshot mzee baba[emoji23][emoji23]
Mnaogopa nini sasa jamani, kwn kw app hakuna bei na vifurushi kabisa tuone mnatumia nini kw kila siku
Bwahahah!!we ndio umeniletea no expiry, youtube, showmax[emoji2960][emoji2960][emoji2960]Asietoka nani baina yetu?
Wewe nioneshe bundles za decoders kwanza [emoji28][emoji28][emoji28]
ultra modern terminal
mbavu zangu [emoji23][emoji23][emoji23]
ultra modern terminal is digitally operated.
😅😅😅😅 Ila wewe kilaza ni special caseTuonyeshe mzee baba[emoji23][emoji23]
Sitaki maneno mimi, yani nawachapa kote kote na bado mnabaki na maneno tu..
*no expiry nimewaletea
*youtube nimewaletea
*showmax nimewaletea na bando la daily pia nimewaletea[emoji23][emoji23]..
Ukimuona mtz anaitishwa screenshot alafu anasita kuleta basi ujue ywaogopa kuumbuka
Nyie vado mumebaki na maneno tu, kwaherini wajuba..
no expiry ni kitu gani Mzee.Tuonyeshe mzee baba[emoji23][emoji23]
Sitaki maneno mimi, yani nawachapa kote kote na bado mnabaki na maneno tu..
*no expiry nimewaletea
*youtube nimewaletea
*showmax nimewaletea na bando la daily pia nimewaletea[emoji23][emoji23]..
Ukimuona mtz anaitishwa screenshot alafu anasita kuleta basi ujue ywaogopa kuumbuka
Nyie vado mumebaki na maneno tu, kwaherini wajuba..
Hapa hupindishi kitu mzee baba[emoji2960]no expiry ni kitu gani Mzee.
Unaonekana wewe ni maskini.