komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Nimekuletea screenshot inayoonyesha 100ksh unapata 2GB+2GB night data, hapo unataka nini mzee..Mzee sijui unaelewa unacho weka hapa. Ndio unadhidi kuthibitisha cost ya 1GB Kenya ni kubwa.
Km hko kwenu mitandao hawana ubunifu kuvutia watu mtulie aisee..