ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Unamlilia nani sasa hapa🤣🤣🤣🤣Stats za uongo hizi kweli walai, mtandao gani hku kenya GB moja wanauza kw $2
Unamlilia nani sasa hapa🤣🤣🤣🤣Stats za uongo hizi kweli walai, mtandao gani hku kenya GB moja wanauza kw $2
Lia hapa sasa 🤣🤣🤣👇👇👇Si ndio nakwambia mi uongo sasa manake wajichekesha tu na wakati ukweli huutaki, yani wewe sijui km utasaidika lini uelimike
Kw mtazamo wangu mi naona mji kw sasa nkm umepoa, si wajua investors huangalia vitu vingi sana before wajitose sehemu..Kwaweli Sijui Tatizo liko wapi.
Asante sana kw kuukumbatia ujinga na kutupa factsUnamlilia nani sasa hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukweli mchungu kumbe, mpka watu wanawehuka[emoji23][emoji23]Lia hapa sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
Nahitaji unieleweshe kuhusu Uwajibikaji wa mtoto aliyepata mimba. Anawajibika vipi? Na huoni kuwa kumpa mtoto mmoja elimu na kumuacha mwingine moja kwa moja ni upuuzi? Kwamba wako Huru kwenda kwenye mifumo mingine ya Elimu ambayo ni either private school ( not affordable to everyone) au VETA (yawezekana isiwe ndoto ya mwanafunzi tajwa). Unapunguza fursa za mwanafunzi kujiendeleza kimaisha kwa kumfukuza shule!Hivyo kwa maslai mapana ya jamii yetu ya kitanzani na kutambua umuhimu wa elimu kwa kila mototo na maadili yetu kwa ujumla...huyu mwanafunzi mjamzito(ni bahati mbaya hakuupanga...ila lazima awajibike) anakuwa na option ya kuendelea na elimu katika mifumo mingine ya elimu huku akiwaacha hawa freshers wasijeiga....na uzuri at the end utonyimwa kazi au nafasi yeyote ya elimu yako kisa ulipitia hii mifumo....na si kila anayeenda huko alikuwa mjamzito....mfano ni namba moja wa tz
Nani anawehuka hapo sisi au hawa🤣🤣👇Ukweli mchungu kumbe, mpka watu wanawehuka[emoji23][emoji23]
Hvi tuchukulie ww ni mzazi na tuongee frank kabisa mtoto wako wa kike aje na mimba nyumbani ww kama mzazi utafanya nnNahitaji unieleweshe kuhusu Uwajibikaji wa mtoto aliyepata mimba. Anawajibika vipi? Na huoni kuwa kumpa mtoto mmoja elimu na kumuacha mwingine moja kwa moja ni upuuzi? Kwamba wako Huru kwenda kwenye mifumo mingine ya Elimu ambayo ni either private school ( not affordable to everyone) au VETA (yawezekana isiwe ndoto ya mwanafunzi tajwa). Unapunguza fursa za mwanafunzi kujiendeleza kimaisha kwa kumfukuza shule!
Hii nimetoa kwenye Website ya Arusha City CouncilSource:TAMISEMI MAKETE
Mzee kama ni uongo kwanini usilete data sahihi!?Stats za uongo hizi kweli walai, mtandao gani hku kenya GB moja wanauza kw $2
Mkifika level ya no expiry kw data, calls & sms unitag jomba..Nani anawehuka hapo sisi au hawa[emoji1787][emoji1787][emoji116]
Hii ndio $2Mzee kama ni uongo kwanini usilete data sahihi!?
Mbona kitu simple tu.
Swali zuri sana. Nakupongeza kwa kuniuliza hili Swali.Hvi tuchukulie ww ni mzazi na tuongee frank kabisa mtoto wako wa kike aje na mimba nyumbani ww kama mzazi utafanya nn
Mzee unatuletea night data. Hebu kuwa serious kidogo. Yaani mtu aache kulala aigie kutumia 1.2GB!?Hii ndio $2View attachment 1767604
Mzee hebu mambo ya Tanzania yapeleke kwenye majukwaa ya Tanzania. Maana hats tukikuelewesha hutaki. Sasa sisi tufanyeje. Umeuliza swali tumekujibu halafu unakataa.Swali zuri sana. Nakupongeza kwa kuniuliza hili Swali.
Kwanza mtoto wangu simlei kwa kumuacha ajifanyie maamuzi yake anayotaka. Ninaongea naye kuhusu mambo ya ngono, magonjwa ya zinaa, na Tabia mbaya wazi wazi. Na yeye yuko very educated about these things Kwa hiyo sitegemei aje na ujauzito nyumbani whatsoever!
Akija na ujauzito moja kwa moja nitajua amefanyiwa sexual assault! Yaani amebakwa! Kwa hiyo sitamfukuza na wala sitampiga Wala sitamtukana. Mental na physical health yake ni muhimu kuliko kitu kingine. Kwa hiyo tutafika polisi kufungua kesi ya ubakaji na tutafika hospitali kwa ajili ya vipimo. Na ikiwezekana pia atapata therapist!
Tofauti niliyoiweka hapa ni kuwa I like MOST Tanzanian parents, mimi ni mzazi RESPONSIBLE! Kwa hiyo mtoto wangu hawezi kuja na mimba nyumbani kwa ridhaa yake, Bali kwa jambo baya ambalo hakulitaka limtokee.
Nyie watu bado sana, sisi tupo na mpka youtube bundles..ukiingia youtube kifurushi chako hakitumiki mpka labda kiishe kile cha youtube..Mzee unatuketea night data. Hebu kuwa serious kidogo. Yaani mtu aache kulala aigie kutumia 1.2GB!?
Thank you for the post, in total Kenya is ranked fourth in Africa, behind SA, Egypt and Nigeria.,Kenya was ranked fourth among countries with the highest concentration of billionaires in Africa.
The Africa Wealth report for 2020 ranked South Africa top with 1,930 billionaires followed by Egypt (810) and Nigeria (460).
Nairobi is placed sixth in the cities’ ranking.
Mzee sijui unaelewa unacho weka hapa. Ndio unadhidi kuthibitisha cost ya 1GB Kenya ni kubwa.Nyie watu bado sana, sisi tupo na mpka youtube bundles..ukiingia youtube kifurushi chako hakitumiki mpka labda kiishe kile cha youtube..
Nyie mnasema nini bana, hii sekta kw ubunifu tumewazidi kw mbali snaaView attachment 1767608
Hahaha!!nigt data au ndio zilivyo, yani ukinunua kifurushi unapewa mpka cha usiku, incase ukikinunua usiku basi utatumia night data mpka zikaishe ndio uanze hicho cha kawaida..Mzee unatuketea night data. Hebu kuwa serious kidogo. Yaani mtu aache kulala aigie kutumia 1.2GB!?
Mzee unajiaibisha usione tumekaa kimya tunakushangaa.Hahaha!!nigt data au ndio zilivyo, yani ukinunua kifurushi unapewa mpka cha usiku, incase ukikinunua usiku basi utatumia night data mpka zikaishe ndio uanze hicho cha kawaida..
Kaa ukisoma kwanza before uanze kujijibia vitu kw kukurupuka tu