komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Unataka kulinganisha body za uchina na masters, kweli nyie matahira jamaa wanaunda bodi km vile udongo, yani likigonga lina momonyoka lote km vile ngozi ya chatuSuala la uzuri wa mabasi halihitaji mjadala zaidi. Labda kama hauna kazi ya kufanya. Unataka tufananishe hizo Master na akina Zong Tong au Higer? Kuhusu hizo intercounty buses ndiyo hizo huku tunatumia zaidi Japanese mini-buses.

