Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,689
- 107,131
[emoji1787][emoji1787] chief hapo hawatokiTunataka kuwachachafya wakenya siku hizi chache.
Hatua inayofuata ni:-
BARs, PUBs, NIGHT CLUBs AND LOUNGEs in Dar es salaam vs Lockdown city
Tutajie route za ndani ambazo hazina mabasi, yani ukiona basi linapiga route za nje kwako ndio linaingiza faida au ndio halina safari za ndaniNyie buses zenu ili zipate faida inabidi kuvuka boda, safari za ndani kwa ndani ni chache mno tofauti na sisi wenzenu tunasafiri mno ndani ya nchi, nyie kwenu ukabila unachangia kushindwa kuwa na safari nyingi ndani ya nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Km hutaki na pia vile vile hujui umuhimu wa shuttles we basi utasaidikaje katika huu ulimwengu..sasa unabishana vipi na wavivu wa fikra haujioni kuwa wewe ni mjinga
Umepanic sasa umeanza kuleta mabasi yaliyojifeaKama hii siyo [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
View attachment 1758241
Naona umeshachanganyikiwa tayari[emoji23][emoji23]ilo sufuria liloandikwa greenline ni model gani ya benzi?
maana nmeona vent ka za landrover109[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nna zawadi yako hapa uknipa model ya hio gari mamie [emoji180]
Kinuko wako ka postiwa jamani we ngangania ku post vya wenyewe tu, wenzio wanatia mimba hko[emoji1787]Mbona unaumia sana ndiyo picha yako hii!?View attachment 1758261
Hapa ukigusa lazima utoke na electricity [emoji366][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sura kama Wanyama pwahahahahha!!!
View attachment 1758187
Hayo mabasi ya nchi ganiUtopolo[emoji1787][emoji1787]View attachment 1758437View attachment 1758438
kwani swali hujaelewa?Naona umeshachanganyikiwa tayari[emoji23][emoji23]
Unafijiria hilo body ni la kichina
hueleweki jipange upyaKm hutaki na pia vile vile hujui umuhimu wa shuttles we basi utasaidikaje katika huu ulimwengu..
Hata uweke coaster route moja na shuttle coaster halitoweza kuwahi faster katika hzo route za intercounties alafu mtu anakuja kuandika hapa ujinga akiongezea ujuaji mwingi
Uchumi wa kutegemea mafuta!Angola nn kinaendelea sinijuzi tu walikua hadi mbele ya Nyang'au? Sahv hadi tunawazidiView attachment 1758479