danja de genzo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 544
- 812
Afrika tuko nyuma sana yani nchi kama kenya iko top ten ya gdp na ndo inavyoonekana hali tete duh sijui tunaenda wapAngola nn kinaendelea sinijuzi tu walikua hadi mbele ya Nyang'au? Sahv hadi tunawazidiView attachment 1758479
