Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha nikija na nyanga ndio watajua, michezo yetu sia utoto, hata "Cardi B" na "Actor Robert Knepper"(prison break) who played Theodore “T-Bag” wanajua hivyo ndio maana wakayasifu kwenye Twitter! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Umaskini wa kutupwa Kenya.
Kisumu Taxi
😀 😀😀
Screenshot_20210420-142405.png
 
Umaskini wa kutupwa Kenya.
Kisumu Taxi
😀 😀😀
View attachment 1758197
Sijakataa, ziko na zitakuwepo. Umaskini upo na bado huyo jamaa wa baiskeli hata labda kakushinda kimaisha, wengi wao, manyumba wamejenga, watoto wamesomesha hadi vyuo vikuu na hata mashamba wanayo, Bibi zao wanalima, hawalali njaa, wewe je. Umetegemea "salary"??? 😂 😂 😂 😂
 
😀🤣🤣
Kitu kama hiki cha nini sasa. Maisha ni usafi. Huoni uchafu huo!?
View attachment 1758199
Uchafu gani, wewe huna akili. Hivi Amber Rutty, ni wa mkoa gani, dadeki!!! Mnaliwa tu, na bado nina thread ya news hapa naogopa kuitupia nisije nikapigwa Kick, inasema jamaa flani huko Bongo alidakwa na polisi wa msako usiku, walipompeleka station, wakamla hiyo sehemu, askari watatu, jamaa mmoja, yaani hadi askari mchezo ni huo, duh! GOMORRAH HIYO NAIONA!!! 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Mavi hayo Mzee. Baada ya kwenda choose hajatawaza. Picha haidanganyi Mzee
🤣 🤣 🤣
images - 2021-04-20T140304.571~2.jpeg
 
Usisahau huku mzee baba tuko na intercounties shuttles wala hatutegemei mabasi pekeake..
Tena unaposema eti mabasi yenu mazuri inakua unakosea, basi sio uzuri pekeake mpka engine nayo intakiwa iwe ya maana, chases pia vile vile
Suala la uzuri wa mabasi halihitaji mjadala zaidi. Labda kama hauna kazi ya kufanya. Unataka tufananishe hizo Master na akina Zong Tong au Higer? Kuhusu hizo intercounty buses ndiyo hizo huku tunatumia zaidi Japanese mini-buses.
 
Swala la uzuri usijaribu mkuu, international praises tunapewa kila kukicha, vyombo tuna pimp kama vipi hata Amerika, hawana ka hizi zetu.
 
Back
Top Bottom