Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

29. Marangu Coach
images - 2021-04-20T005124.534.jpeg
images - 2021-04-20T005004.931.jpeg
images - 2021-04-20T005019.687.jpeg
images - 2021-04-20T005031.290.jpeg
images - 2021-04-20T005041.649.jpeg
images - 2021-04-20T004956.763.jpeg
 
Wivu unakusumbua,siku ukiziona mig 29 zetu utazimia kabisa kwa jelous
Sio wivu, ni ukweli nakuadhibu nao. Hata sisi kuna ndege za wanajeshi ambazo zinakaa poa but ni za kubeba, kusafirisha nk. Zaweza tumika kwa attacking arena Lakini mpaka zijazwe vifaa advance za kivita ndio ziwe na uwezo wa ku attack.
 
Wawekeeni mazingira safi wacheni upuuzi, mtoto unapomuweka kwenye mazingira hayo anakosa uzalendo kwa nchi yake ndo mana viongozi wengi wa Kenya co wazalendo kutokana na maisha ya nguruwe waliyokutana nayo utotoni [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 1756978View attachment 1756979View attachment 1756980View attachment 1756981

Sent using Jamii Forums mobile app
Future CEO's katika makampuni ya tz[emoji1787][emoji1787]
Watoto wa maeneo hayo kenya ni moto pande zote zote
 
Back
Top Bottom