The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,536
Ni ya watalii! 🤣 🤣 🤣Hio ni bus ya abiria 🤣🤣🤣 au unataka tuingie huku 🤣🤣👇👇👇👇 View attachment 1757152View attachment 1757153
Hiii wazito fc 😅😅 benz yenyewe ya mwaka 80 huko 😅😅😅😅Ni ya watalii! 🤣 🤣 🤣
Nina wasi kama hii ni Mercedes Benz halisi! Imekaa kama Tata!Hiii wazito fc 😅😅 benz yenyewe ya mwaka 80 huko 😅😅😅😅
View attachment 1757167
🤣🤣🤣🤣🤣 mm mwenyewe nimepata wasiwasi mpaka nikamwambia itakua benz ya 80sNina wasi kama hii ni Mercedes Benz halisi! Imekaa kama Tata!
Angalia inavyoattack kwenye video,hiyo kitu ina machine gun pande zote 2 na ina missile kibera ndani ya sekunde inabaki majivu,angalia video hiyoBeast la kubebea watu, sio la mashambulizi, yako versions tofauti! 🤣 🤣 🤣
Hicho kichwa tu, hata kuguza staki, ntaota mazingaombwe! 🤣 🤣 🤣
Ndio nikasema ziko version kibao, mliyonayo ni utility helicopter sio attack helicopter.Angalia inavyoattack kwenye video,hiyo kitu ina machine gun pande zote 2 na ina missile kibera ndani ya sekunde inabaki majivu,angalia video hiyo
Manina 🤣🤣🤣🤣 naona mavi yanagonga chupiHicho kichwa tu, hata kuguza staki, ntaota mazingaombwe! 🤣 🤣 🤣
Mwaka wa 80's sio, na bado kimesimama, ama naona vibaya? 😂 😂Hiii wazito fc 😅😅 benz yenyewe ya mwaka 80 huko 😅😅😅😅
View attachment 1757167
Nimemwambia hzi scania gemilang zimejaa kama takataka wao wanaona ndio kitu kipya kwao 🤣🤣🤣🤣
Nimecheka sana unaeza sema tata au leyland mbaula 🤣🤣🤣🤣Mwaka wa 80's sio, na bado kimesimama, ama naona vibaya? 😂 😂