NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 16,388
- 17,969
Wawekeeni mazingira safi wacheni upuuzi, mtoto unapomuweka kwenye mazingira hayo anakosa uzalendo kwa nchi yake ndo mana viongozi wengi wa Kenya co wazalendo kutokana na maisha ya nguruwe waliyokutana nayo utotonikimwizzy umesema ukweli kuhusu hao vijana, manake kiukweli ikifika ni mtihani wanabomoa kubomoa aisee..
View attachment 1756954View attachment 1756955View attachment 1756956
Vijana wamekupigia 400 kupanda yani sijui watoto wa private schools huaga tatatizo ni nn likifikia swala la mitihani ya kitaifa..
Yani wanapigwa na kuachwa hko




Hapo kwenye tahmeed ushawavua nguo hawarudii tena kuiba kampuni za Tanzania na kuzihamishia Kenya kwa maandishiMzee Tanzania kuna zaidi ya makampuni 100 ya mabasi mazuri. Mimi nakuona kama mwehu Fulani tu.
View attachment 1756973View attachment 1756974View attachment 1756975View attachment 1756976








Kwani mkisii sio mkenya . Ndio maana ukabila haushi kenya
Wewe leta evidence kuwa ni ya Tanzania, sio story za Salim hapa na ukumbuke Main Office aka Kwao iko Nairobi, Kudadadeki! 🤣 🤣 🤣 🤣Sasa umenuna!? Leta evidence kuwa ni ya Kenya.
Ungesoma hapo juu, Ungejua kwann nimetaja mkisii, kenge wewe. Unarukia mashaza ndanda wazi? 😂Kwani mkisii sio mkenya . Ndio maana ukabila haushi kenya
Kampala Coach, Simba Coach, Mombasa Raha, Coast, Tahmeed et Al na unaona unajielewa?Mzee Tanzania kuna zaidi ya makampuni 100 ya mabasi mazuri. Mimi nakuona kama mwehu Fulani tu.
View attachment 1756973View attachment 1756974View attachment 1756975View attachment 1756976
Toa evidence, Mliona nimewatolea vifaa vya tahmeed mkajinyelea, na bado! 🤣Hapo kwenye tahmeed ushawavua nguo hawarudii tena kuiba kampuni za Tanzania na kuzihamishia Kenya kwa maandishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona eh 😂😂😂Kampala Coach, Simba Coach, Mombasa Raha, Coast, Tahmeed et Al na unaona unajielewa?
More👇👇👇
Nimeona 😀😀Umeona eh 😂😂😂
Mzee tunawaachia hiyo Tahmeed na hizo ulizo orodhesha. Twende na battle sasa. Acha Julia lia.Kampala Coach, Simba Coach, Mombasa Raha, Coast, Tahmeed et Al na unaona unajielewa?
Shule ka hizo ndio yule mwalimu bora duniani wa ule mwaka alikuwa anafundisha hadi akaenda high school bado ya kijijini, mwisho wa siku ilikuwaje. Mapeni kibao kazawadiwa, anajulikana duniani kote, na la mwisho... Nitajieni mwalimu aliyefanya ka yeye, kuinua wanafunzi wa vijijini kuwa Smart kuwashinda wa shule bora Kenya!? 🤣 🤣 🤣 (teacher Tabichi) nenda ka revise 😂😂😂Wawekeeni mazingira safi wacheni upuuzi, mtoto unapomuweka kwenye mazingira hayo anakosa uzalendo kwa nchi yake ndo mana viongozi wengi wa Kenya co wazalendo kutokana na maisha ya nguruwe waliyokutana nayo utotoniView attachment 1756978View attachment 1756979View attachment 1756980View attachment 1756981
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ni wagonjwa wa Akili boss.🤣🤣Umeona eh 😂😂😂