President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,057
- 93,451
42. Buti la Zungu
kimwizzy umesema ukweli kuhusu hao vijana, manake kiukweli ikifika ni mtihani wanabomoa kubomoa aisee..
View attachment 1756954View attachment 1756955View attachment 1756956
Vijana wamekupigia 400 kupanda yani sijui watoto wa private schools huaga tatatizo ni nn likifikia swala la mitihani ya kitaifa..
Yani wanapigwa na kuachwa hko
Nina wasi kama hii ni Mercedes Benz halisi! Imekaa kama Tata!