Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Boom!View attachment 1756327View attachment 1756328View attachment 1756329View attachment 1756330
View attachment 1756358Dar lux iyo route zake me sizijui bhana, we utajua mwenyewe
Boom!View attachment 1756327View attachment 1756328View attachment 1756329View attachment 1756330
View attachment 1756358Dar lux iyo route zake me sizijui bhana, we utajua mwenyewe
Mzee jifunze kutuma picha kwanza kwenye JF.Boom!
Wacha kulalama, just enjoyMzee jifunze kutuma picha kwanza kwenye JF.
Pili kwa upande wa public transport Kenya bado mpo kwenye stone age.
Huoni unaanza kuweka buses from Tanzania. Tahmeed unaijua lakini!?
Mzee Tahmeed ni Buses za Tanzania. Naona sasa umeanza kuchanganyikiwa
Ona vile unavyojidanganya sasaMzee Tahmeed ni Buses za Tanzania. Naona sasa umeanza kuchanganyikiwa
View attachment 1756422
Tahmeed coach limited is a kenyan company bossMzee Tahmeed ni Buses za Tanzania. Naona sasa umeanza kuchanganyikiwa
View attachment 1756422


Mzee unatakiwa ufanye utafiti kabla ya kuweka kitu humu. Kwa EA Public Transport Tanzania inaongozaOna vile unavyojidanganya sasa
Tahmeed coach limited ni kampuni ya kenyaMzee njoo na kitu kingine
View attachment 1756424
Prove hilo hayo mabasi yapo Tanzania miaka na miaka. Wao wame Extend Business kuja huko kenya. Ndio maana ninawaambi hamjui chochote.Tahmeed coach limited is a kenyan company boss![]()
Hata ukisema ni yako, pia sitapinga. Hapa ni free of speech! 🤣 🤣 🤣Mzee Tahmeed ni Buses za Tanzania. Naona sasa umeanza kuchanganyikiwa
View attachment 1756422
Kenya mabasi ya tahmeed coach yapo miaka na miaka pia, we unasema nini banaProve hilo hayo mabasi yapo Tanzania miaka na miaka. Wao wame Extend Business kuja huko kenya. Ndio maana ninawaambi hamjui chochote.
Hahaha mnaanza kuonesha mabasi ya TanzaniaHata ukisema ni yako, pia sitapinga. Hapa ni free of speech! 🤣 🤣 🤣
Nimekuambia leta proof kuwa hayo mabasi ni ya kenya. Mbona kitu rahisi tuKenya mabasi ya tahmeed coach yapo miaka na miaka pia, we unasema nini bana
Leta proof km tahmeed coach limited ni kampuni ya tzNimekuambia leta proof kuwa hayo mabasi ni ya kenya. Mbona kitu rahisi tu
Thibitisha km wali extend liniProve hilo hayo mabasi yapo Tanzania miaka na miaka. Wao wame Extend Business kuja huko kenya. Ndio maana ninawaambi hamjui chochote.
