Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,393
- 5,800
[emoji23][emoji23]Hatuko kw denial sisi[emoji1787][emoji1787]
Vipi kwanza, ubongo wako umeshaupataView attachment 1756948
[emoji23][emoji23]Hatuko kw denial sisi[emoji1787][emoji1787]
Vipi kwanza, ubongo wako umeshaupataView attachment 1756948
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mm mwenyewe nimepata wasiwasi mpaka nikamwambia itakua benz ya 80s
Ila bro umejua kukomesha, kampuni 50+ umeweka hapa ndani, heshima yako kaka 😂😂✍️ hawa wajomba bado sana kwenye kitengo hiki
Sufuria hizi zikiingia mzani zinazid mzaniii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwataka nini tena? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 1756489
View attachment 1756490
View attachment 1756491
Kati ya Atcl na kq ipi ina domestic route nyingi?Kampuni 100 zote za nn hzo[emoji1787][emoji1787]
Ndio manake upande wa anga tumewapiga gepu kubwa sana mumbe wengi wenu wanategemea mabasi sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kitu pekee cha Benz hapo ni hilo logo mbele wamebandika, hilo ni lori la canter/ Isuzu wamebadiliaha Body , angalia komeo la mlango [emoji23] , kama la getho la msela, halafu angalia na madirisha kama ya zege [emoji23]. Kama ni Benz akuambie model gani.
Master fabricators is Kenyan alafu unasema tukose Basi za master fabricators? Akili yako iko Sawa? Anyway, it's nice to see you being proud of buses built in Kenya.Master fabricators 😁😁 benz umekosa na irizar umekosa sasa unatuletea hzo
Where are the headquarters of Tahmeed Coaches? Tuanzie hapo.😂😂😂, Dah nilikuepo wapi mda wote huu unadanganya watu we mbuzi.? Tahmeed ni kampuni ya tz tena tanga route zake kubwa ni Tanga-DSM na Tanga-Mombasa
Kunyaland ni failed state1.4 ml [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1757608
Mzee nimekupatia zawadi hiyo Tahmeed chukua.Where are the headquarters of Tahmeed Coaches? Tuanzie hapo.