Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wenzetu wa kenya wapo local sana bado wapo kwenye buses zinazotumia screen tv katikati kuangalia mpaka upindue shingo hadi ukimaliza safari unakuwa mlemavu wa shingo[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu umechelewa, nimerusha vyombo vya uhakika huko juu, ndugu zako wanalia! 🤣 🤣 🤣
 
wenzetu wa kenya wapo local sana bado wapo kwenye buses zinazotumia screen tv katikati kuangalia mpaka upindue shingo hadi ukimaliza safari unakuwa mlemavu wa shingo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ati screen za wapi vile? 😂 😂 😂

images (6).jpeg

images (5).jpeg
 
Back
Top Bottom