Hapo kweli nmekuelewa, mana hata mm nikawa nashangaa sana inakuwaje mkenya umchukie Rais ambaye siye wako namna hii? Nkawa nashangaa sana hata Wakenya pia nadhani walikuwa wanamshangaa sn mashashola inakuwaje mtu keshakufa lkn huyu mkenya bado anamsimanga? Sema wakawa hawasemi mana Wakenya wa humu hawasemani [emoji1787][emoji1787]
Dah ila leo ndo nmejuwa kumbe ni choice variable aisee dah alafu anajifanya Mkenya eti, aisee huyu choice variable sijui alifanywa nn na magu huyu, mm nahisi alikuwa miongoni mwa wenye vyeti feki ss Magu alipoingia akawatoa ss ndio amekuwa na chuki kiasi hiki aisee Dah.
Choice variable vumilia tu mkuu, Magu ilimbidi afanye vile ili atufikishe hapa tulipo kwamba now tunatamba mbele ya Wakenya walokuwa wanaleta dharau dhidi yetu, siumeona jinsi tunavyotamba? Tangu asubuhi nawakimbiza na hawajibu kitu, ili likamilike jambo hili ilibidi Magu a risk maisha kwa kufanya yale aloyafanya ikiwemo kuwapunguzeni nyie wenye vyeti feki, lkn wala co kwamba alikuwa hakupendi No, kwnz hata hakuwa anakujua.
Move on mzee japo inauma mana ndo ushatoka serikalini hata ufanyaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using
Jamii Forums mobile app