Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo kweli nmekuelewa, mana hata mm nikawa nashangaa sana inakuwaje mkenya umchukie Rais ambaye siye wako namna hii? Nkawa nashangaa sana hata Wakenya pia nadhani walikuwa wanamshangaa sn mashashola inakuwaje mtu keshakufa lkn huyu mkenya bado anamsimanga? Sema wakawa hawasemi mana Wakenya wa humu hawasemani [emoji1787][emoji1787]

Dah ila leo ndo nmejuwa kumbe ni choice variable aisee dah alafu anajifanya Mkenya eti, aisee huyu choice variable sijui alifanywa nn na magu huyu, mm nahisi alikuwa miongoni mwa wenye vyeti feki ss Magu alipoingia akawatoa ss ndio amekuwa na chuki kiasi hiki aisee Dah.

Choice variable vumilia tu mkuu, Magu ilimbidi afanye vile ili atufikishe hapa tulipo kwamba now tunatamba mbele ya Wakenya walokuwa wanaleta dharau dhidi yetu, siumeona jinsi tunavyotamba? Tangu asubuhi nawakimbiza na hawajibu kitu, ili likamilike jambo hili ilibidi Magu a risk maisha kwa kufanya yale aloyafanya ikiwemo kuwapunguzeni nyie wenye vyeti feki, lkn wala co kwamba alikuwa hakupendi No, kwnz hata hakuwa anakujua.

Move on mzee japo inauma mana ndo ushatoka serikalini hata ufanyaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
😅 Yaani halijui tu kama linajimaliza lenyewe kwa stress, wapo wakunya kama kina nairobi walker, collohmzii, Coco ambae ndio komora pia ndio sinister na yenyewe yana chuki kweli na Magu.
 
Wanatakaje

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Lile genge wanataka kuiendesha nchi...
CCM kweli ina wenyewe, wapinzani wangekuwa wanajitambua huu ulikuwa mda wao wa kuchukua nchi sema hatuna wanasiasa wapinzani makini bali tuna wapinzani malaya tu kushoto kulia
Mimi bado najiuliza ni kwa nini Magu alimteua slowslow.
Wakifanikiwa watatisha sana, Majaliwa anatakiwa awe Rais 2025, mama akipewa atataka mpaka 2030
Usijali, tumesha fafanuliwa hapo juu.
 
huu utaratibu upo safi sana
Nilitaka Wakenya waone mazingira ya Tz yalivyo safi, leo nimewaumiza kweli kweli [emoji3][emoji3][emoji3]

Wakenya reports za clean cities zikitoka msianze kuhangaika kukataa ukweli mnaona mambo haya karatasi unaitafuta na huioni
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1241][emoji117][emoji382][emoji382]
IMG_20210417_152758_793.jpg
IMG_20210417_164511_409.jpg
IMG_20210417_164209_222.jpg
IMG_20210417_145923_170.jpg
IMG_20210417_145832_231.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28] Yaani halijui tu kama linajimaliza lenyewe kwa stress, wapo wakunya kama kina nairobi walker, collohmzii, Coco ambae ndio komora pia ndio sinister na yenyewe yana chuki kweli na Magu.
Mnawajuaje hawa alafu huwa wanajifanya kuji quote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vizuri umelifafanua hili mapema mi nilanza kuogopa kwa kweli.
Nchi haiendeshwi na mtu mmoja ndugu. Nchi ni taasisi pana mno. Issue za ugomvi wa kijinga tulishaziachia primitive countries kama Kenya.
Sisi tulishatoka huko. Tanzania ni modern country. Ni nchi ya wastaarabu.

Tunaweza kubishana kwenye mitandao pekee. Kwenye vitu serious hatufanyi makosa.
 
Tunatakiwa tuwe makini na aina ya wanafunzi wa kuwapokea kwenye tasisi zetu nyeti kama military, yapo mataifa tunaopaswa kushirikiana nayo kwenye issue kama hizi lakini sio Kenya kabisa
Hao kiboko yao keshakufa waliobaki wengi ndo wale wale wanaoendekeza utanzania wa 70s ule wa kina Nyerere. Magufuli hakuwa na utanzania wa kipuuzi kama huo eti nipige kofi la huku nikugeuzie na la kule never.

Enzi za Magu huwezi kuta Mkenya hapo cz alikuwa anawajua vizuri wanafki hawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo Chamwino Ikulu kuna shughuli ya kutunuku maafisa wanafunzi hitimisho la mafunzo, pamoja na bendera za mataifa mengine zikimaanisha uwepo wa wanafunzi kutoka mataifa hayo, nimeona pia bendera ya Kenya, kulikoni?

View attachment 1754575View attachment 1754576View attachment 1754577
Usishangae sana mkuu, hiyo inaitwa joint traning programs. Hata Kenya tuna Kenya Military Academy (KMA), Lanet, inayotoa mafunzo ya Cadet officers hadi levels za bachelor pia.
The academy trains cadet officers from several African countries. The programme is designed to produce junior military leaders not just for the Kenya Defence Forces, but also for allied countries.
Tuna host countries including Tz cadet officers for a period of atleast 4 years till graduating. Issue ya kawaida hiyo mbona!
NB;ingia YouTube uangalie ka unaona chai!
 
Nilitaka Wakenya waone mazingira ya Tz yalivyo safi, leo nimewaumiza kweli kweli [emoji3][emoji3][emoji3]

Wakenya reports za clean cities zikitoka msianze kuhangaika kukataa ukweli mnaona mambo haya karatasi unaitafuta na huioni
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji1241][emoji117][emoji382][emoji382]View attachment 1754681View attachment 1754682View attachment 1754684View attachment 1754685View attachment 1754686

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja niwafafanulie pengine mnaweza mkanielewa, 3 za juu za Tz, 3 za chini za Kenya
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji86][emoji86]
IMG_20210417_145832_231.jpg
IMG_20210417_150111_900.jpg
IMG_20210417_145901_178.jpg
tapatalk_1595920780974.jpg
Screenshot_2020-10-14-09-09-08.jpg
JamiiForums21541998.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usishangae sana mkuu, hiyo inaitwa joint traning programs. Hata Kenya tuna Kenya Military Academy (KMA), Lanet, inayotoa mafunzo ya Cadet officers hadi levels za bachelor pia.
The academy trains cadet officers from several African countries. The programme is designed to produce junior military leaders not just for the Kenya Defence Forces, but also for allied countries.
Tuna host countries including Tz cadet officers for a period of atleast 4 years till graduating. Issue ya kawaida hiyo mbona!
NB;ingia YouTube uangalie ka unaona chai!
Kijana hapa tunaongelea Bachelor of Military Science.
Tuambie hiyo course kama ipo huko kunyaland
 
Ngoja niwafafanulie pengine mnaweza mkanielewa, 3 za juu za Tz, 3 za chini za Kenya
[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji86][emoji86]View attachment 1754693View attachment 1754694View attachment 1754695View attachment 1754696View attachment 1754698View attachment 1754708

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeamini akili za wengine haziko sawa, hivi picha za KE huoni za kitambo hizo. Mwaka wa ngapi huu tangu makaratasi ya plastic yawe banned KE, na hiyo hapo ni Nairobi ya kitambo sio sahi wakati wa utawala wa NMS.
Usifanye nicheke, comparing metro stands zenyu Na Street, not even stations for goodness sake za Nairobi, which are of past years, that just show how desperate and pathetic some people are.
 
Kijana hapa tunaongelea Bachelor of Military Science.
Tuambie hiyo course kama ipo huko kunyaland
Ndio maana nikamwambia ka hunielewi, na naona tayari kichwa kizito hicho, pitia YouTube uangalie. Sasa kama one of the best military academies in Africa haitoi BSc in Military Science, si ni "certificate ya kudensi" ndio wanapatiwa huko na ukumbuke ndugu zenyu tuko nao huku kwa camp. Njooni muwachukue wasipewe "Certificates" 🤣🤣🤣
 
Nimeamini akili za wengine haziko sawa, hivi picha za KE huoni za kitambo hizo. Mwaka wa ngapi huu tangu makaratasi ya plastic yawe banned KE, na hiyo hapo ni Nairobi ya kitambo sio sahi wakati wa utawala wa NMS.
Usifanye nicheke, comparing metro stands zenyu Na Street, not even stations for goodness sake za Nairobi, which are of past years, that just show how desperate and pathetic some people are.
Weka za ss tushindanishe, alafu wakuu msisahau BRT pale boma panazidi kupamba moto [emoji91] yn pamefumuliwa balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nikamwambia ka hunielewi, na naona tayari kichwa kizito hicho, pitia YouTube uangalie. Sasa kama one of the best military academies in Africa haitoi BSc in Military Science, si ni "certificate ya kudensi" ndio wanapatiwa huko na ukumbuke ndugu zenyu tuko nao huku kwa camp. Njooni muwachukue wasipewe "Certificates" 🤣🤣🤣
Wewe nitajie jina la KMA kiko wapi.
Cha Tanzania kipo Monduli Arusha.
 
Ndio maana nikamwambia ka hunielewi, na naona tayari kichwa kizito hicho, pitia YouTube uangalie. Sasa kama one of the best military academies in Africa haitoi BSc in Military Science, si ni "certificate ya kudensi" ndio wanapatiwa huko na ukumbuke ndugu zenyu tuko nao huku kwa camp. Njooni muwachukue wasipewe "Certificates" 🤣🤣🤣
Watu watakucheka kijana
Screenshot_20210417-190842.png
 
Back
Top Bottom