Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya oneni vile watanzania tumestaarabika, hapa ni Kimara nasubiri gari ya mbezi[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji90][emoji382][emoji382]
IMG_20210417_152758_793.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala ya kwenda Ulaya atachukua basi mpaka Dar halafu anapata nafasi ya kuonja electrical SGR! Halafu anageuza kusimulia wenzie pale Kibera!

Hata wakitaka kuona bomba refu sana la mafuta Afrika, waje tu Tanzania kuona, Afrika ni moja, pia yetu sote.

Hivi wajumbe, bomba la mafuta la TAZAMA na EACOP lipi ni refu?
 
Kheee!!tena ulisoma komenti yangu na ukaielewa kweli, hyo binti alipachikwa mimba wakati akisubiria majibu yake ya darasa la nane..
Nyumbai alisutwa sana mpka ikafikia babake kumkana na kujitenga nae hku akifikia uamuzi wa kumtelekeza..

Binti yetu amashukuru sana mamake kw kupambana naye kw hali na mali, we unafikiria naongelea story za vijiweni..hili ni swala limetukuta km wanafamilia,

Binti yetu alipambana na wala hakuacha kumuomba Mungu mamake akimfariji na kumpa maneno ya kumtia moyo..ona sasa mtoto kapiga mpka kidato cha nne akapita sai yupo chuo kikuu anakupigia computer science hku akifadhiliwa na serekali japokua baba yake mpka sasa hataki habari zake..

Sasa wewe endelea na akili zako za kizamani eti mtu akizaa hawezi ku forcus na elimu
ulikwepo wakati anapewa hiyo mimba...?

au wewe ndiye ulikuwa kuwadi wake
 
Back
Top Bottom