Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,866
- 19,252
Hii alama wameiweka hapa inaitwa alpha kama sikosei yn mwanzo.Mama akikagua gwaride [emoji1241][emoji1241][emoji1241]
View attachment 1755004View attachment 1755005View attachment 1755006
hatatMama akikagua gwaride [emoji1241][emoji1241][emoji1241]
View attachment 1755004View attachment 1755005View attachment 1755006
Omega Ω
Huyu apa RIP Tanzanian revolutionalist[emoji116][emoji116][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]View attachment 1755010
Yeah, sorry unajua nimeshasahau bhn nmechanganya na ile niliyokuwa naitumia tumia kwenye adv math.Omega Ω
Sawa mkuu, ata kushindana na wewe kazi bure, vitu kwa ground ni different kijana!
Ndivyo unavyoota, lakini hali halisi waijua, na ukweli unauma! 🤣 Wacha madogo wenyu wakule training alafu waje wawaringie huko kudadadeki! 🤣
Hii kitu ikiisha Tanzania itakua next levelNdivyo unavyoota, lakini hali halisi waijua, na ukweli unauma! 🤣 Wacha madogo wenyu wakule training alafu waje wawaringie huko kudadadeki! 🤣
Halafu mjue kikosi chao cha anga Ngerengere wana the moSt modern airport in the region!