anaitwa Gitau from Kikuyuland! naskia anavaa napkins! Jamaa katibuwa mtaro 🤣 🙆♂️ 🤣Km unavyoliwa wewe sio
Inaonekana unachokiongea haikuji wewe,Magu alikua jinga sana. Eti msichana akipata mimba asirudi shule? Huo ulikua uamuzi wa kitoto, kijinga na kishabiki sana.
Uamuzi ambao haukufuata sayansi.
No wonder alikufa corona kwa kulenga sayansi.
I hate magu
Suluhu ni mwanamke anafaa abadilishe huo ushuzu wa magu kuhusu elimu ya wasichana.
Kila msichana Tanzania asome ata akipata mimba akiwa darasa la nane. View attachment 1754317
Ni choice variable huyo kabisa, sijui Magufuli alimfanyaga nini, wakenya wanaweza kuwa hawamkubali sana Magufuli lakini hawajafika chuki ya choice variable anaejifanya mkenya, halafu alivyo mpumbavu sijui anafikiri hizi harakati zake Magufuli anaziona?Kumbe haka ni kale kajinga choice variable, huwa wakati mwingine kanajifanya kakenya, kuna uzi kule jukwaa la siasa kaliona jamaa kaanzisha uzi wa Magu kakafikiri ni mm kisa avatar zimefanana kakaanza kumshambulia jamaa huku kanamkonect na jukwaa hili nilicheka sn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti unajifanya kuongea kama mkenya, we ni taahiraNmepeana sababu yangu kwamba izo faili ziko hapo sababu magu alikua fala flani na mshamba wa kutupwa. Worst president of 21st century.
Wewe hujapeana sababu ya hizi faili kua hapo. Makende ya siafu
View attachment 1754155
Swahiba yako sioanaitwa Gitau from Kikuyuland! naskia anavaa napkins! Jamaa katibuwa mtaro [emoji1787] [emoji2297] [emoji1787]
Safi sanaMombasa international Airport Fame continues,,karibuni Kenya hakuna Matata[emoji122][emoji7]
View attachment 1754398View attachment 1754399
Mombasa international Airport Fame continues,,karibuni Kenya hakuna Matata👏😍
View attachment 1754398View attachment 1754399
Electrified, steam, diesel kwangu sijali cha msingi ni movement from point A to B, kile na zungumzia ni nyumba za uswazi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa elimu ya chuo ni kawaida siyo mtoto wa primary/seco mwenye miaka 14-16 adake mimba kisha aende darasani hivi unajua effect anayokuwa nayo kwa hiko kipindi,,,kiuhalisia lazima ayumbe kwenye perfomance ya masomo vinginevyo awe kaumbwa geneous......Kuna wanafunzi walijifungulia nyumbani pindi wapo shuleni na wakarudi kuendelea na masomo yao km kawaida hku kaacha mtoto nyumbani..
Hivi tunavyo argue hapa farhiya bint hassan yupo JKUAT(main campus) anakupigia computer science..we sema km toto lako ni zuzu hata lisipotungwa halitashika tu
Moro to makutupora project
Inayoenda Bandarini sio kile kipande kule kinachokatiza Nyerere road pale Toyota? Sina uhakika lakini ni kipande kipi cha Darajani au Pale Toyota Banda la Ngozi.
Badala ya kwenda Ulaya atachukua basi mpaka Dar halafu anapata nafasi ya kuonja electrical SGR! Halafu anageuza kusimulia wenzie pale Kibera!Usihofu ndg, ikiendelea Tanzania, east Afrika itaendelea na Afrika nzima itaendelea.
Pia ukitaka kupanda tren ya umeme, utaenda Tanzania.
Kheee!!tena ulisoma komenti yangu na ukaielewa kweli, hyo binti alipachikwa mimba wakati akisubiria majibu yake ya darasa la nane..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa elimu ya chuo ni kawaida siyo mtoto wa primary/seco mwenye miaka 14-16 adake mimba kisha aende darasani hivi unajua effect anayokuwa nayo kwa hiko kipindi,,,kiuhalisia lazima ayumbe kwenye perfomance ya masomo vinginevyo awe kaumbwa geneous......
nchi nyingi za africa hazina mifumo rafiki yenye ubora itakayomfanya mtoto atilie maanani masomo kipindi cha mimba mpaka kujifungua..
hao waliopitisha hayo mambo nchi zao tiyari zipo so protected kwenye gender ,wamejidhatiti
ACHA UPIMBI
Sasa nyie hamkupitisha mumejipanga kivipi, alafu ujue kenya hili swala tangia mkoloni labda lilikuwepo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa elimu ya chuo ni kawaida siyo mtoto wa primary/seco mwenye miaka 14-16 adake mimba kisha aende darasani hivi unajua effect anayokuwa nayo kwa hiko kipindi,,,kiuhalisia lazima ayumbe kwenye perfomance ya masomo vinginevyo awe kaumbwa geneous......
nchi nyingi za africa hazina mifumo rafiki yenye ubora itakayomfanya mtoto atilie maanani masomo kipindi cha mimba mpaka kujifungua..
hao waliopitisha hayo mambo nchi zao tiyari zipo so protected kwenye gender ,wamejidhatiti
ACHA UPIMBI
Ungenyoosha maelezo viZuri tangu mwanzoElectrified, steam, diesel kwangu sijali cha msingi ni movement from point A to B, kile na zungumzia ni nyumba za uswazi.
Kwa hiyo Tanzania hakuna wazazi wanasoma?Inaonekana unachokiongea haikuji wewe,
Hiv kwaakili za kawaida tu eti mtoto apate mimba azae afu arudi shule [emoji23][emoji23], sasa tutakua tunafundisha watoto au wazazi.? Na alichokua anataka magufuli sio eti huyo mtoto asisome kabisa lahasha, zipo taratibu zingine za kufuata ili kwa huyo mtoto aendelee kupata haki yake ya msingi (Elimu) lakini asiendele kuwepo kwenye mfumo rasmi wa Elimu wa serikali since kuendelea kwa huyo mtoto kubaki shule kunaweza sababisha kwa namna moja au nyingine kuwaharibu wengine (watoto wa kike) huku kwenye mfumo rasmi wa Elimu ambako serikali imewekeza nguvu nyingi ili kuijenga kesho nzuri ya Tanzania yetu,kesho nzuri ya watu wetu