Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Lanet, NakuruWewe nitajie jina la KMA kiko wapi.
Cha Tanzania kipo Monduli Arusha.
Lanet, NakuruWewe nitajie jina la KMA kiko wapi.
Cha Tanzania kipo Monduli Arusha.
Taja jina la chuo tuweze kukiangalia kama kinafundisha Bsc.Lanet, Nakuru
Hapo kwa kuchekwa ndio sijui watakuwa wanachekeshwa na nini ka si kupagawa. Nimekwambia hayo unayoongelea ni mambo ya kawaida na mwenye kujua kusoma atanielewa najaribu kukuambia nini. Hata hiyo program unanionyesha hapo, nilijua toka kitambo sio hapa naionea.Watu watakucheka kijana
View attachment 1754720
Nitaje jina la chuo tena, wanichukuliaje mkuu. Ka hujui kusoma, mi si mwalimu!Taja jina la chuo tuweze kukiangalia kama kinafundisha Bsc.
Wale wa kushindana na nyinyi watakuja, mi niko kwa kurekebisha tu kama huyo jamaa anayejifanya kujua sana ilhali hamna lolote.Weka za ss tushindanishe, alafu wakuu msisahau BRT pale boma panazidi kupamba moto [emoji91] yn pamefumuliwa balaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unapiga kelele wewe leta KMA inayofundisha Bsc. Military Science.Hapo kwa kuchekwa ndio sijui watakuwa wanachekeshwa na nini ka si kupagawa. Nimekwambia hayo unayoongelea ni mambo ya kawaida na mwenye kujua kusoma atanielewa najaribu kukuambia nini. Hata hiyo program unanionyesha hapo, nilijua toka kitambo sio hapa naionea.
Nakuru ndio chuo!? Unaakili au huna!?Nitaje jina la chuo tena, wanichukuliaje mkuu. Ka hujui kusoma, mi si mwalimu!
Defense college tena, yaani wewe ulisomeshwa shule gani, tunaongelea academy, unaruka hadi college za defense! 🤣 Hiyo KMA unayoitaja hapo unajua ni nini ama ni kuitaja tu?Mbona unapiga kelele wewe leta KMA inayofundisha Bsc. Military Science.
Sasa unaanza kuniimbia taarabu.
Halafu ulivyo mjinga unaniletea kambi za jeshi.
Halafu unaleta defense colleges. Unaakili au huna!? Defense College wanafundishwa viongozi mbalimbali.
Ila aisee Road za Bongo zina utamu flani hivi mweupee, yaani daah sijui nisemejee
We lazima usijali maana hata ukijali mshabugi diesel yenu hiyo,Electrified, steam, diesel kwangu sijali cha msingi ni movement from point A to B, kile na zungumzia ni nyumba za uswazi.
na wakitoka hapo hao wakenya wakienda kwao wanakuwa kwenye vyeo na wanakuwa na uboraLeo Chamwino Ikulu kuna shughuli ya kutunuku maafisa wanafunzi hitimisho la mafunzo, pamoja na bendera za mataifa mengine zikimaanisha uwepo wa wanafunzi kutoka mataifa hayo, nimeona pia bendera ya Kenya, kulikoni?
View attachment 1754575View attachment 1754576View attachment 1754577
Wewe nimekuambia leta kitu kama hikiDefense college tena, yaani wewe ulisomeshwa shule gani, tunaongelea academy, unaruka hadi college za defense! 🤣 Hiyo KMA unayoitaja hapo unajua ni nini ama ni kuitaja tu?
KENYA MILITARY ACADEMY, located in Lanet, Nakuru.
hakuna cha mkumbo wa siasa ,,mimi mtoto akipata mimba namnyuka viboko vya kutosha kisha namtimua,akishajifungua atarudi shule kwa nafasi yake huko alipoNaona akili sasa zimeanza kurudi, watoto pia wana deserve second chance..wewe km mzazi unatakiwa ulijue hilo wala sio kufuata mkumbo wa siasa tu
Doh. Kumbe ninyi ni wateja wetu toka zamani na mmesheheni kwenye academies zetuUsishangae sana mkuu, hiyo inaitwa joint traning programs. Hata Kenya tuna Kenya Military Academy (KMA), Lanet, inayotoa mafunzo ya Cadet officers hadi levels za bachelor pia.
The academy trains cadet officers from several African countries. The programme is designed to produce junior military leaders not just for the Kenya Defence Forces, but also for allied countries.
Tuna host countries including Tz cadet officers for a period of atleast 4 years till graduating. Issue ya kawaida hiyo mbona!
NB;ingia YouTube uangalie ka unaona chai!
alafu, Nakuru sio chuo, ni mji 😂 kaka. Just wanted to let you know.
Soma akili ipanuke!Doh. Kumbe ninyi ni wateja wetu toka zamani na mmesheheni kwenye academies zetu
View attachment 1754815View attachment 1754817View attachment 1754818View attachment 1754820View attachment 1754822View attachment 1754824
Tatizo unataka kufurahisha wanenguaji wenzako lkn nafsi bado ina kusuta[emoji23]hakuna cha mkumbo wa siasa ,,mimi mtoto akipata mimba namnyuka viboko vya kutosha kisha namtimua,akishajifungua atarudi shule kwa nafasi yake huko alipo
jinyonge sasa,,,
Tanzania ipo mbali sana kwenye hayo mambona wakitoka hapo hao wakenya wakienda kwao wanakuwa kwenye vyeo na wanakuwa na ubora
Majaliwa akiwa press tumepigwaWakifanikiwa watatisha sana, Majaliwa anatakiwa awe Rais 2025, mama akipewa atataka mpaka 2030