Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtafute basi

Huyo ambaye yuko kivyake huwezi kumpata. Mimi namfahamu yule ambaye anaambatana na ndugu yake Wajibu. Hawa hawaachani, kudanganya watu, hasa watoto kwamba wenyewe wana haki tu bila kuwajibika kwa matendo yao ni kuwapoteza. Wawekee vitu hadharani wachague wenyewe.
 
nimepita ubungo, naona wanaweka fence
IMG_1618647933.006189.jpg
IMG_1618647950.098888.jpg
IMG_1618647963.320189.jpg
IMG_1618647975.696309.jpg
IMG_1618647987.665744.jpg
 
Huyo ambaye yuko kivyake huwezi kumpata. Mimi namfahamu yule ambaye anaambatana na ndugu yake Wajibu. Hawa hawaachani, kudanganya watu, hasa watoto kwamba wenyewe wana haki tu bila kuwajibika kwa matendo yao ni kuwapoteza. Wawekee vitu hadharani wachague wenyewe.
Wajibu kwa watoto mie simjui, labda uniambie kw wazazi na jamii..
Lkn eti ulete ishu eti mtoto kupata haki ni lazima awajibike na wakati wewe hujatafuta suluhu km mzazi au serekali basi ni itakua ni ujinga wa viwango..

Unatakiwa km una support hii ishu uangalie na pia serekali imeamua kuwajibika kivipi ili wapate kutoa mafunzo
 
Back
Top Bottom