Oneni hii🤣🤣🤣👇👇👇
😃😃😃😃😃
The whole of Kenya hamna chuo cha kijeshi kinachotoa degree wachia mbali medical college! Hutegemea kupewa used equipment toka UK n US bases Nanyuki na Lamu!
In the Kenya Defence Forces Commandant is an appointment. Commandant is the title of the head of the training institutions that include:
Geza Ulole, najua watamani ingekuwa hivyo lakini pole, sivyo. Hali halisi unaijua. Internet uko nayo, najua ata usha browse tayari ukajionea. Sasa wajiliwaza, nimekuelewa mkuu! 🤣The whole of Kenya hamna chuo cha kijeshi kinachotoa degree wachia mbali medical college! Hutegemea kupewa used equipment toka UK n US bases Nanyuki na Lamu!
Hata Tony254 anajua!
Alafu equipments za kijeshi tunanunua, hatupewi. Hakuna cha bure ka ni hivyo vya bure mnagoja huko, shauri yenyu!The whole of Kenya hamna chuo cha kijeshi kinachotoa degree wachia mbali medical college! Hutegemea kupewa used equipment toka UK n US bases Nanyuki na Lamu!
Hata Tony254 anajua!
Kenya wanajeshi wanafundisha courses za kijeshi na ka wewe umeingia ka specialist upande wa udaktari utapewa advance medical training huko. Tuna recruit vijana waliosomea udaktari tayari, (Kenya Medical Training College). Hatuchukui wasiojua kitu ati wakafundishwe toka chini, la. Huko ni kupoteza mda na resources. Hitimu kwanza chuo cha serikali, ndio ukaajiriwe jeshini.
Chuo cha lugalo kinafundisha kozi za kiraia zilizo chini ya nacte, kina recruit askari, maafisa na raia pia wana special kozi za kijeshi za tiba, wanapata watu wanaitwa military medical assistance, military nursing assisatance nk hao kazi zao wanajua wenyewe ila huwez waona kwenye hosp za kiraia, ingia kwenye hiyo website inajieleza kwa ufupi.Kenya wanajeshi wanafundisha courses za kijeshi na ka wewe umeingia ka specialist upande wa udaktari utapewa advance medical training huko. Tuna recruit vijana waliosomea udaktari tayari, (Kenya Medical Training College). Hatuchukui wasiojua kitu ati wakafundishwe toka chini, la. Huko ni kupoteza mda na resources. Hitimu kwanza chuo cha serikali, ndio ukaajiriwe jeshini.
Geza Ulole, ndugu zako wa UG hao, walihitimu enzi hizo 😂😂 na hapo ni Defence College tu, bado hawakufika Military Academy!The whole of Kenya hamna chuo cha kijeshi kinachotoa degree wachia mbali medical college! Hutegemea kupewa used equipment toka UK n US bases Nanyuki na Lamu!
Hata Tony254 anajua!
Defence Forces Technical College (DEFTEC) TVC, Nairobi... Madaktari wakifaulu recruitment wakipita hapo wanapata more advanced military medical training. Hiyo ni a MUST hata kama ulihitimu kama daktari ukiwa raia.Chuo cha lugalo kinafundisha kozi za kiraia zilizo chini ya nacte, kina recruit askari, maafisa na raia pia wana special kozi za kijeshi za tiba, wanapata watu wanaitwa military medical assistance, military nursing assisatance nk hao kazi zao wanajua wenyewe ila huwez waona kwenye hosp za kiraia, ingia kwenye hiyo website inajieleza kwa ufupi
Huyo Willy Paulo hajui kama Kenya inaongozwa kwa mikopo inayokuja na masharti? Hajui Uhuru akiondoa lock down serikali ina-collapse?