Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania now wanaenjoy matunda ya kubana matumizi ya kipumbavu ya pesa na ku invest kwenye miradi yenye tija kama huu, ona watu wamepumzika wanaosubiri kusafiri na wengine wametoka safari so wanapumzika bure kabisa huku wakila upepo natural.

Zamani ilikuwa ukifika Ubungo unaanza kukutana na vumbi pamoja na harufu ya choo ukiwa nje, so ukiingia ndani hurembi Fasta umeamsha, kwanza sehemu ya kupumzika hamna lkn ona leo watu walivyojinafasi, alafu eneo kubwa halina watu viti vingi vipo empty.

Pia kuna floor zinazofuata zipo empty kabisa, kwakifupi ni ngumu sana kuijaza Magufuli bus terminal, Magu huyu dah, km kweli kuna pepo basi naamini kabisa huyu mzee ataionja ata kama sio yote lkn lazima ataionja tu, Mungu mkubwa tumuombee iwe hivyo.
IMG_20210417_164301_831.jpg
IMG_20210417_164240_097.jpg
IMG_20210417_164116_751.jpg
IMG_20210417_164111_241.jpg
IMG_20210417_164108_802.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania now wanaenjoy matunda ya kubana matumizi ya kipumbavu ya pesa na ku invest kwenye miradi yenye tija kama huu, ona watu wamepumzika wanaosubiri kusafiri na wengine wametoka safari so wanapumzika bure kabisa huku wakila upepo natural.

Zamani ilikuwa ukifika Ubungo unaanza kukutana na vumbi pamoja na harufu ya choo ukiwa nje, so ukiingia ndani hurembi Fasta umeamsha, kwanza sehemu ya kupumzika hamna lkn ona leo watu walivyojinafasi, alafu eneo kubwa halina watu viti vingi vipo empty.

Pia kuna floor zinazofuata zipo empty kabisa, kwakifupi ni ngumu sana kuijaza Magufuli bus terminal, Magu huyu dah, km kweli kuna pepo basi naamini kabisa huyu mzee ataionja ata kama sio yote lkn lazima ataionja tu, Mungu mkubwa tumuombee iwe hivyo.View attachment 1754620View attachment 1754622View attachment 1754626View attachment 1754627View attachment 1754628

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kama airport tu standard yake
 
Kwa hiyo Tanzania hakuna wazazi wanasoma?

Ukipata mtoto ata na 30 years na wewe ni mwanafunzi huwezi rudi shuleni?

Magufuli na wewe mna shida ya ubongo.

Uzazi hauna miaka
Wapo. Wanasoma VETA, sekondari za binafsi au vyuo. Pia wengine husoma kwenye tuition centres mtaani na kisha kufanya mitihani ya kitaifa kama private candidates. Hivyo vituo vya mitihani ni both private & gvt.

Ujinga tulioukataa ni kuruhusu warudi kuendelea na masomo sanjari na wenzao kwenye shule za umma.

Pia ungeweza kupost bila kumtaja Magufuli. Inaonesha mzimu wake umepanga bure kwenye vichwa vya haters wake kama wewe. Siwashangai jamaa ni gwiji hivyo ataishi akilini mwetu milele.
 
ulikwepo wakati anapewa hiyo mimba...?

au wewe ndiye ulikuwa kuwadi wake
Naona akili sasa zimeanza kurudi, watoto pia wana deserve second chance..wewe km mzazi unatakiwa ulijue hilo wala sio kufuata mkumbo wa siasa tu
 
Huwa nashindwa kabisa kumuelewa mtu anayesema eti Magufuli bus terminal itasababisha foleni, itasababisha foleni kivipi? Mbona sielewi, hebu ona hapo chini bus itatoka stand ikipita juu ya overpass yake hiyo apo nimeiwekea arrow ya light blue [emoji838], zen itapita kwenye njia yake hiyo apo kwenye arrow ya dark blue, lakini hiyo njia ambayo bus toka Magufuli bus terminal itapita iko mbali kabisa na kimara-Kibaha super highway, zinakwenda kukutana mbele huko, ss foleni inakujaje hapo?

Picha ya mwisho inaonesha njia itakapopita bus zinazotoka Magufuli bus terminal nimeiwekea red arrow, zen kimara-Kibaha high way nimeiwekea blue, ona zilivyo mbali mbali zen zinakutana mbele kule, foleni inakujaje hapo?
Screenshot_20210417-172449.jpg
Screenshot_20210417-172512.jpg
Screenshot_20210417-172557.jpg
Screenshot_20210417-172805.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania now wanaenjoy matunda ya kubana matumizi ya kipumbavu ya pesa na ku invest kwenye miradi yenye tija kama huu, ona watu wamepumzika wanaosubiri kusafiri na wengine wametoka safari so wanapumzika bure kabisa huku wakila upepo natural.

Zamani ilikuwa ukifika Ubungo unaanza kukutana na vumbi pamoja na harufu ya choo ukiwa nje, so ukiingia ndani hurembi Fasta umeamsha, kwanza sehemu ya kupumzika hamna lkn ona leo watu walivyojinafasi, alafu eneo kubwa halina watu viti vingi vipo empty.

Pia kuna floor zinazofuata zipo empty kabisa, kwakifupi ni ngumu sana kuijaza Magufuli bus terminal, Magu huyu dah, km kweli kuna pepo basi naamini kabisa huyu mzee ataionja ata kama sio yote lkn lazima ataionja tu, Mungu mkubwa tumuombee iwe hivyo.View attachment 1754620View attachment 1754622View attachment 1754626View attachment 1754627View attachment 1754628

Sent using Jamii Forums mobile app
Waiting lounge ndio kitu kinachokufanya ufurahike kupita maelezo
 
Ni choice variable huyo kabisa, sijui Magufuli alimfanyaga nini, wakenya wanaweza kuwa hawamkubali sana Magufuli lakini hawajafika chuki ya choice variable anaejifanya mkenya, halafu alivyo mpumbavu sijui anafikiri hizi harakati zake Magufuli anaziona?

Jamaa mpumbavu sana, unakuaje na uchungu kiasi hiki kwa long decomposed substance? Kitu hata hakina feelings literally hakipo kama sio utaahira huo ni nini?
Hapo kweli nmekuelewa, mana hata mm nikawa nashangaa sana inakuwaje mkenya umchukie Rais ambaye siye wako namna hii? Nkawa nashangaa sana hata Wakenya pia nadhani walikuwa wanamshangaa sn mashashola inakuwaje mtu keshakufa lkn huyu mkenya bado anamsimanga? Sema wakawa hawasemi mana Wakenya wa humu hawasemani [emoji1787][emoji1787]

Dah ila leo ndo nmejuwa kumbe ni choice variable aisee dah alafu anajifanya Mkenya eti, aisee huyu choice variable sijui alifanywa nn na magu huyu, mm nahisi alikuwa miongoni mwa wenye vyeti feki ss Magu alipoingia akawatoa ss ndio amekuwa na chuki kiasi hiki aisee Dah.

Choice variable vumilia tu mkuu, Magu ilimbidi afanye vile ili atufikishe hapa tulipo kwamba now tunatamba mbele ya Wakenya walokuwa wanaleta dharau dhidi yetu, siumeona jinsi tunavyotamba? Tangu asubuhi nawakimbiza na hawajibu kitu, ili likamilike jambo hili ilibidi Magu a risk maisha kwa kufanya yale aloyafanya ikiwemo kuwapunguzeni nyie wenye vyeti feki, lkn wala co kwamba alikuwa hakupendi No, kwnz hata hakuwa anakujua.

Move on mzee japo inauma mana ndo ushatoka serikalini hata ufanyaje [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanazengo, nasikia tetesi huko hawataki kumpa mama uenyekiti.
CCM kweli ina wenyewe, wapinzani wangekuwa wanajitambua huu ulikuwa mda wao wa kuchukua nchi sema hatuna wanasiasa wapinzani makini bali tuna wapinzani malaya tu kushoto kulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom