Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,894
- 103,758
Kama si kulinganisha basi tungekuwa na corruption index moja na Kenya! Wacha ujinga!Lengo langu sio kulinganisha. Corruption is just corruption! Hata kama ni shilingi Mia mbili zimetumika kinyume na taratibu! Lakini kawaida yetu ni heri tuonekane bora kuliko wenzetu kisa tuko corrupt kidogo kuliko wao. Wewe ndio uache upumbavu!
Hao foreign SGR workers Ambao wanafanya kazi nchini bila kibali ingekuwa ni Kenya tungekuwa tumeshasema maneno mengi tu kuiponda Kenya. Mnajua serikali imepoteza kiasi gani kutokana na hii Kitu? TZS 35,630,708,000!
Hao foreign SGR workers Ambao wanafanya kazi nchini bila kibali ingekuwa ni Kenya tungekuwa tumeshasema maneno mengi tu kuiponda Kenya. Mnajua serikali imepoteza kiasi gani kutokana na hii Kitu? TZS 35,630,708,000!
Kwa hiyo wewe na utu uzima wako uko tayari kuonekana na index ndogo ya corruption kuliko kenya na ukakaa na ku-relax ukijitetea kuwa at least wao wako corrupt kuliko sisi na sio ku-condemn corruption iliyopo nchini kwako? Wakati nilivyochukua break kidogo humu nilisema kuwa watanzania wengi tunapenda ku-sweep things under the rug (kufukia uchafu wetu chini ya zuria) Badala ya kutupa uchafu wetu nje! Hii ni TOXIC trait yetu na inanishangaza unavyoibeza Kenya na usione matatizo ya nchi yako. Kweli huu ni muujiza kwangu😂😂Kama si kulinganisha basi tungekuwa na corruption index moja na Kenya! Wacha ujinga!
I didn’t read the article. I saw that amount listed and immediately thought that it was real. My bad. But still, $1.5 million is a lot of money! Na kwanini muda wote huu serikali haikuwapa Vibali ili wapate makato ya kufanya kazi nchini?Hiyo Tshs 35 bln imetoka wapi? pumbavu wewe?
CAG report: 1,538 SGR foreign construction workers did not have permits
THURSDAY APRIL 08 2021
![]()
Summary
- The first and second phases of the Standard Gauge Railway is constructed by Yapi Merkezi an international privately-owned contracting company from Turkey that has specialised in rail engineering, design, manufacture and construction.
![]()
By The Citizen Reporter
More by this Author
Dar es Salaam. The Controller and Auditor General (CAG) report on development projects shows that 1,538 out of 2,408 foreign workers constructing first and second phases of the Standard Gauge Railway from Dar es Salaam to Dodoma did not have work permits.
The report for the financial year ending June 2020 which was submitted to parliament today Thursday, April 8, 2021 shows that this was contrary to Section 9 (2) (a) of the Foreign Citizens Employment Act of 2015.
"A review of the November 2020 project development report found that a total of 586 foreign nationals out of 924 employed in the first phase of the SGR construction did not have work permits."
"This situation was also noted in the second phase where it was found that a total of 952 out of 1,484 foreign nationals did not have work permits," the report states.
The first and second phases of the Standard Gauge Railway is constructed by Yapi Merkezi an international privately-owned contracting company from Turkey that has specialised in rail engineering, design, manufacture and construction.
The CAG’s report further states that non-compliance with the work permits requirements resulted in non-payment of US $ 1,538,000 which is equivalent to Sh3.5 billion(the exchange rate of sh 2,300).
Kuna interchange video yake iliwahi kusambaa mitandaoni, ni ya pale baada ya salender Bridge kwenye mataa, ile ndio bab kubwa kama itajengwa, kwa jinsi ilivyo inahitaji mtu mwenye maamuzi magumu kama Jpm kujenga, tuombe Mungu Waliobaki wajitutumue.Interchange ya mwenge itakuja kuwa baba yao wakae mkao wa kuliwa tuu
Nadhani itakuwa kwa anayetaka, asiyependa adunde zakeIn short, wabongo tujiandae kwa vaccine...
Mission completed
Maza sijui kama hataweza anafaa atulize akili ajikite sana kwenye kukusanya kodi, kupunguza rushwa na na miradi ya maendeleo basiKuna interchange video yake iliwahi kusambaa mitandaoni, ni ya pale baada ya salender Bridge kwenye mataa, ile ndio bab kubwa kama itajengwa, kwa jinsi ilivyo inahitaji mtu mwenye maamuzi magumu kama Jpm kujenga, tuombe Mungu Waliobaki wajitutumue.
Ebu tuma renderNadhani itakuwa kwa anayetaka, asiyependa adunde zake
Hao foreign SGR workers Ambao wanafanya kazi nchini bila kibali ingekuwa ni Kenya tungekuwa tumeshasema maneno mengi tu kuiponda Kenya. Mnajua serikali imepoteza kiasi gani kutokana na hii Kitu?
Na ni nani aliyekuambia hapa duniani kuna nchi ina zero corruption? Hakuna nchi ambayo haina corruption ila kinachoangaliwa ni kiwango cha corruption na mikakati ya kupambana na corruption. Kuna corruption every where all over the world!Lengo langu sio kulinganisha. Corruption is just corruption! Hata kama ni shilingi Mia mbili zimetumika kinyume na taratibu! Lakini kawaida yetu ni heri tuonekane bora kuliko wenzetu kisa tuko corrupt kidogo kuliko wao. Wewe ndio uache upumbavu!
Mimi binafsi nataka Miradi YOTE aliyoanzisha Magufuli imalizike. Lakini naona kuwa kuna vitu ambavyo haviendi Sawa kwenye uendeshaji wa baadhi ya miradi ikiwemo SGR. Kwa nini muda wote huu serikali haikutoa vibali?Naona inatafutwa sababu ya kusimamisha hii miradi.
Wewe hujanielewa. Mimi sikatai kwamba corruption haipo Bali nakataa upuuzi wa kuiangalia Kenya kama guide ya kutuzuia kuendelea kukomesha ufisadi. Kwamba kisa wao wanatuzidi kwenye ufisadi basi sisi Tukae na kufurahia mahala tulipo. Tunaweza kufika mbali zaidi kwenye haya mapigano. Hatukuwahi kuona ufisadi unafanyika juu serikalini hapa nyuma. Tulijihakikishia kuwa tupo vizuri lakini lately hizi siri zinazofichuliwa zinasema otherwise!Na ni nani aliyekuambia hapa duniani kuna nchi ina zero corruption? Hakuna nchi ambayo haina corruption ila kinachoangaliwa ni kiwango cha corruption na mikakati ya kupambana na corruption. Kuna corruption every where all over the world!
Yani eti naye cag anahoji kwa nn mradi wa bwawa la nyerere unatumia upembuzi yakinifu ulifanyika 1970, ebu nisaidie hvi hii pia ni kazi yake anatafuta visababu tuuNaona inatafutwa sababu ya kusimamisha hii miradi.
Acha izo hata hakujapambazuka ushatandika kitanda, tumpe nusu mwaka mazaWakuu kwaherini tutaonana siku akipatikana kiongozi mzalendo,sioni matumaini hapa..byebye
Hahahaha, even tribalism the situation is the same, that Tanzania is full of tribalism like Kenya, the only difference because Kenyans speak openly about it while in Tanzania it is known to only few people involved. Stupid thinking.Were we really less corrupt than Kenya? It’s funny because Instances of Corruption and embezzlement of public funds are always all over the news in Kenya but in TZ, these things happen in secret. No one knows except those involved!And we entertain ourselves by posting tweets about corruption in Kenya not knowing that we are not different than them.
![]()
Wakunya juzi wamemlalamikia sana kwa yeye kuwepo serengeti,jana kawapaka kama hawajui vilemtoto yupo tz kupunguza mawazoView attachment 1746117
Absolutely. Although tribalism in Tanzania isn’t severely linked to our Economic and Political realms, we do experience it. Unakuta kuna makabila hayapendi kuoa/kuolewa kwenye makabila mengine au hata tribalism inakuwepo kwasababu ya stereotypes za makabila Fulani. E.g Wasukuma washamba, Wachagga wabahili, Wahaya wanapenda kujionyesha etcHahahaha, even tribalism the situation is the same, that Tanzania is full of tribalism like Kenya, the only difference because Kenyans speak openly about it while in Tanzania it is known to only few people involved. Stupid thinking.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app