Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakati BongoTunajenga BRT lanes Mwaka 2015 , Hili bus ndio lilitumika kujaribishia Barabara . Na tukaambiwa yatakua haya. Lakini yakanunuliwa Mengine. So nina uhakika na hao watanunua Yatakayowafaa. Umegundua humu pia tulionyeshwa mabus wameshanunua yapo SA yameandikwa Namata?

Ona MAN Bus kabla ya Jinlong.

View attachment 1746357
View attachment 1746358
Yote hii ni obsession ya ku catchup with Tanzania, mpaka wanafanya vihoja ili tu na wenyewe wakae list 1 na Tanzania kwenye BRT
 
Mm hawa huwa naenda nao tit for tat kudadadeki nginja nginja wakimwaga dona namwaga sembe, ndivyo mkenya anataka na wala sio kiustaarabu, mkenya hapendi ustaarabu mana kwao ustaarabu ni kipengele na hakuna huo msamiati.

Ila ile ya Uhunye nmeitoa

Kwanza hata huo msamiati wa ustaarabu hawana wenyewe. Si unaona makamu na raisi wanavyopeana makavu!!?? Sasa sijui ile dhana ya uwajibikaji wa pamoja (collective responsibility) inatumika wapi???
 
Kibanda ya Chipsi
emoji116.png
emoji116.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
[emoji1787

Hapo kwenye kumpata M'badala ni ngumu.

Tujiandae kuwasimulia watoto wetu kuwa hapo zamani za kale alikuwepo Mwamba mmoja mzalendo aliye kuwa anaitwa JPM.

Huku tukiwasimulia namna alivyo pambana kwenye miradi mikubwa ya maendeleo.

Huu umeme ni bei rahisi kwa sababu yake.

Hizi barabara nzuri na nyingi ni kwa sababu yake...alizipambania yeye.

Hizi treni za SGR aliyefanikisha ni yeye.

Unaona huu umeme unaowaka kila kijiji? Yeye ndio alifanikisha.
Kwa kweli historia itamfanya JPM aendelee kuishi kupitia matendo yake makuu katika hii nchi kama historia inavyofanya JK Nyerere anaishi hadi leo kupitia matendo yake makuu kwa nchi yetu.😎😎😎
 
Hivi hizi barakoa zinazovaliwa na 99% ya watu si zinafunika mdomo na pua tu?

Kwa mfano ukiwa umevaa barakoa iliyofunika mdomo na pua halafu aje mtu mwenye mambukizi ya kirusi akohoe pembeni yako halafu vimaji vya kukohoa virukie machoni mwako...si utapata kirusi?

Nimeuliza hivi kwa sababu "tuliambiwa tusishike pua, mdomo na macho" halafu barakoa zinazo pigiwa upatu na kuvaliwa sana ni hizo za kufunika pua na mdomo tu.
Halafu the worst thing ni kwamba hizi barakoa tunazivaa tu mtaani lakini nyumbani hatuvai kwa assumption kwamba kwenye familia risk ya kuambukizwa corona ni ndogo. Kama mwanafamilia atapata maambukizi ni rahisi zaidi kuambukiza wengine katika familia hasa kipindi kile ambacho anakuwa hajaanza kuonyesha dalili za ugonjwa. Ni immunity tu ndio inasaidia watu wengi tusiugue huu ugonjwa wa mafua makali lakini kuhusu kuambukizwa naamini wengi tumeambukizwa bila hata kujua. Ndio maana huwa nafika mahali nasema JPM was right ni most cases kwamba huu ugonjwa tuishi nao tu kama tunavyoishi na magonjwa wengine na pia tutumie natural remedy pale inapowezekana.
 
Kaka hapa tulipofika corona tulishaishinda kitambo kinachofuata ni kuwafurahisha wazungu tu,angalia death rate,age versus Corona,pia tuangalie death trend ya miaka iliyopita, tuangalie elimu,maisha ya Waafrika mnaweza sema hatuna na rekodi za corona mi naamini kwa maisha yetu Watanzania tungeokotana barabarani kama wazungu walivyotabiri.Angalia mimi nakula bata mwanzo mwisho 😆😆😆 pembeni nna washua ila mtaa wetu uko shwari kabisa sijawahi skia kifo cha corona I swear!!!Toka Corona ianze.
Sikuona sababu ya Mama kuingilia corona to be honest
 
Adui mkubwa wa maendeleo ya Afrika is the so called democracy. Huyu mdudu anatumika sana kuvurunda ustawi wa Afrika. Wanasema democracy, hata hawajui kuwa sisi tuna culture tofauti. Wanalazishia na sisi tutengeneze likatuni lenye matiti na makalio makubwa la viongozi wetu kama walivyofanya kwa Trump.
🤣 🤣 🤣 🤣 Dah!
 
Kuna madudu yaliyofanyika yanawekwa wazi na CAG. Money laundering serikalini 😶
 
Were we really less corrupt than Kenya? It’s funny because Instances of Corruption and embezzlement of public funds are always all over the news in Kenya but in TZ, these things happen in secret. No one knows except those involved! 😡 And we entertain ourselves by posting tweets about corruption in Kenya not knowing that we are not different than them. 🤡🤡🤡
 
Were we really less corrupt than Kenya? It’s funny because Instances of Corruption and embezzlement of public funds are always all over the news in Kenya but in TZ, these things happen in secret. No one knows except those involved! 😡 And we entertain ourselves by posting tweets about corruption in Kenya not knowing that we are not different than them. 🤡🤡🤡
wacha upumbavu corruption yote ya CAG report ni hela inaenda kwa mtu mmoja Kenya! Kulinganisha nchi iliyopokea zaidi ya $12 bln in last one year na haina cha kuonyesha! Utakuwa mjinga wa mwisho kulinganishana nchi inayoongelea upotevu wa less than $50 mln!
 
wacha upumbavu corruption yote ya CAG report ni hela inaenda kwa mtu mmoja Kenya! Kulinganisha nchi iliyopokea zaidi ya $12 bln in last one year na haina cha kuonyesha! Utakuwa mjinga wa mwisho kulinganishana nchi inayoongelea upotevu wa less than $50 mln!
Lengo langu sio kulinganisha. Corruption is just corruption! Hata kama ni shilingi Mia mbili zimetumika kinyume na taratibu! Lakini kawaida yetu ni heri tuonekane bora kuliko wenzetu kisa tuko corrupt kidogo kuliko wao. Wewe ndio uache upumbavu!
 
Hao foreign SGR workers Ambao wanafanya kazi nchini bila kibali ingekuwa ni Kenya tungekuwa tumeshasema maneno mengi tu kuiponda Kenya. Mnajua serikali imepoteza kiasi gani kutokana na hii Kitu?
 
Back
Top Bottom