Eti Magufuli stand itasababisha foleni kwamba haikuzingatia ujenzi wa barabara ya kimara-kibaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na kwamba bwawa la JNHP linajengwa kwa hesabu za kizamani za 70s[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo ilani yao waliyoitengeneza wenyewe leo wanaikosoa, kwahiyo mapesa yote yaliyozama pale tumeyatupa tu tuanze upya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani kiukweli mambo mengine hata wapinzani wanashangaa, hakuna jema lililofanywa awamu iliyopita, kesho tutaambiwa mradi wa sgr hauna tija mana tayari spika anasema ilipaswa utegemee ujenzi wa Bagamoyo port [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wallahi Africa ni shit hole.