Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mama amesha haribu pakubwa sana saivi, kumruhusu CAG kutoa report kiolela hivi kiolela it's just sad... na ninahisi kashinikizwa amruhusu cag atoe taarifa. Ona sasa ni kashfa ju ya kashfa. Its like wao hiko kipindi hivyo vitu vinatokea hawakuwepo (kama ni kweli). Kwaio walitegemea Jpm afatilie kila kitu? Kazi yao ilikua ni ipi sasa? Afu saivi Magu ndo anaanza kuonekana mbaya kisa watu wachini yake hawakufanya kazi yao vzuri... yani ccm isipo angalia they are digging their own grave... yani i Can feel it. Wasizani sisi wanachi tuliompenda Jpm ni wajinga na hatuelei nini kina endelea. Na wengi wao walishinda hii awamu ya pili kisa yeye... damm

I don't think I'll ever trust Mama any more, i had benefit of doubt before lakini kwa mwendo hu huyu mama hu mziki ume mshinda.. dadili ya mvua ni mawingu na nyota njema huonekana asubuhi... kwa mnao nielewea mtajua hilo
 
Kuna wakenya washaanza kumkumbuka uko

FB_IMG_1617944361513.jpg
 
Yani anatafuta vijisababu tuu ya kuonyesha jpm ni mmbaya na afadhali amejenga sgr kwa bei nafuu ingekuwa tumejenga kwa gharama kama za kenya alafu ni disel ingekuwa hapatoshi hapa
 
mwenzenu maneno ya kuandika yameniisha.

najihisi ni mkosefu sana kuvumilia jpm akitukanwa kwa naman yoyote tu,huyu jamaa na mashavu yake kama chura anataga ni wa kutuambia stand ya mbezi itasababisha foreni!!!!stand yenyewe haijaisha bado.

mwanzoni wakati zinatoka riport za ATC nilizikubali kwamba inawezekana,shirika letu sio la kwanza,ila kwa sasa naanza kuona rangi halisi ya utapeli kwa watz.

Mungu umetukosea sana watz,na kwa hili hatutaacha kukulaumu milele.ulipanga haya yatukute.
 
mkuu tusivunjike moyo ,,huu ni mchezo wa kijinga tu kinyulinyuli type mwisho wa picha sisi ndiyo waamuzi...
mama anatokwa na maneno tu nahisi ata anachoongea hakielewi
 
mwenzenu maneno ya kuandika yameniisha.

najihisi ni mkosefu sana kuvumilia jpm akitukanwa kwa naman yoyote tu,huyu jamaa na mashavu yake kama chura anataga ni wa kutuambia stand ya mbezi itasababisha foreni!!!!stand yenyewe haijaisha bado.

mwanzoni wakati zinatoka riport za ATC nilizikubali kwamba inawezekana,shirika letu sio la kwanza,ila kwa sasa naanza kuona rangi halisi ya utapeli kwa watz.

Mungu umetukosea sana watz,na kwa hili hatutaacha kukulaumu milele.ulipanga haya yatukute.
Mungu sio wakulaumiwa na hatokuja kuwa wakulaumiwa but I have a feeling anataka tujifunze n I know watanzania tuta take action for real one day... Mungu alitusambazia uzalendo watanzania kupitia huyu mzee, and i believe its of no waste. Nisha anza kuona ata raia wengi wakaida huku wanaanza kuuona utopolo wa mama. Na akicheza hamalizi hu muula.
 
leo nimeshangaa mtaani watu wanalaumu,inakuwaje mbona kama mzee anachafuliwa kihuni huni???
 
Mama ndo ametaka yote hayo... na bado aneendelea kuruhusu wamchafue... sasa sijui anathani it make her even better? As long wote waliku under him bado wote wataonekana ni wachafu tu. Coz they didn't dare to talk the time alikuwepo saivi ndo wanajidai wanaongea... nahawajui wanazidi kuwapa poit vyama pinzani kwa haya mambo wanafanya. Trust kwa watanzania inapotea kabisa kwa chama chao (ccm). Yani sijuiii lakini i don't think its going to end well for them...
 
Hivi hajui maana ya collective responsibility??
Inakuwa kana kwamba yeye kaingia leo pele magogoni.
 
leo nimeshangaa mtaani watu wanalaumu,inakuwaje mbona kama mzee anachafuliwa kihuni huni???
Me nakwambia ninapofanya kazi raia hawamuelewi kabisa huyu mama, kila mtu ana hasira kichizi na tayari conspiracies kwamba anahusika na kifo cha mzee zinajiumba

Ameanza vibaya sana, yaani Ameanza uongozi wake kwa kumvua nguo mzee na kutuaminisha uongozi wake na maamuzi yake mengi kama sio yote yalikua hovyo 💔😢
 
Wanochekelea repoti ya CAG niwakumbushe tu kuwa nae ni CCM na Team iliyotake over ni ya Kikwete:

Kibwagizo: USD Exchange Rate Against TZS Kikwete VS Magufuli:
Kikwete: USD to TZ December 2005 = TZS1270, December 2015 = TZS2165: (2165-1270 = 895)
1617955575534.png
1617955613759.png

Magufuli: USD to TZ December 2015 = TZS2165, February 2021 = TZS2319: (2319-2165 = 154)
1617955692766.png
1617955737203.png

Source: USD TZS Historical Data - Investing.com
 
Attachments

Back
Top Bottom