Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi binafsi nataka Miradi YOTE aliyoanzisha Magufuli imalizike. Lakini naona kuwa kuna vitu ambavyo haviendi Sawa kwenye uendeshaji wa baadhi ya miradi ikiwemo SGR. Kwa nini muda wote huu serikali haikutoa vibali?
still wanaweza kudaiwa!
 
Absolutely. Although tribalism in Tanzania isn’t severely linked to our Economic and Political realms, we do experience it. Unakuta kuna makabila hayapendi kuoa kwenye makabila mengine au hata tribalism inakuwepo kwasababu ya stereotypes za makabila Fulani. E.g Wasukuma washamba, Wachagga wabahili, Wahaya wanapenda kujionyesha etc
Soma vizuri post yangu, hasa jinsi nilivyomalizia hiyo post, I hope you are clever enough

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 


Kwa masharti yao ya kwanza? Hell No! Unless wamefikia muafaka utakaoleta Faida kwa Tanzania.
 
Kuna mtu alinitukana kwasababu hakutaka kusikia ukweli kuhusu kodi zilizokithiri. nilimwambia hata ukusanyaji wa kodi utapungua. Haya sasa hivi si mimi ninayeongea ni CAG.
 
Hahahaha, even tribalism the situation is the same, that Tanzania is full of tribalism like Kenya, the only difference because Kenyans speak openly about it while in Tanzania it is known to only few people involved. Stupid thinking.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Nimependa mtari wa Mwisho, sent from TECNO L8 km mm

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Absolutely. Although tribalism in Tanzania isn’t severely linked to our Economic and Political realms, we do experience it. Unakuta kuna makabila hayapendi kuoa/kuolewa kwenye makabila mengine au hata tribalism inakuwepo kwasababu ya stereotypes za makabila Fulani. E.g Wasukuma washamba, Wachagga wabahili, Wahaya wanapenda kujionyesha etc
Hivi unajua Tribalism wewe au,

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Were we really less corrupt than Kenya? It’s funny because Instances of Corruption and embezzlement of public funds are always all over the news in Kenya but in TZ, these things happen in secret. No one knows except those involved! And we entertain ourselves by posting tweets about corruption in Kenya not knowing that we are not different than them.
This resounding fact your countrymen hawapendi kamwe! Very objective.
 
Lengo langu sio kulinganisha. Corruption is just corruption! Hata kama ni shilingi Mia mbili zimetumika kinyume na taratibu! Lakini kawaida yetu ni heri tuonekane bora kuliko wenzetu kisa tuko corrupt kidogo kuliko wao. Wewe ndio uache upumbavu!
It is the principle behind the conduct/act e.g. bribe etc., that is the issue. Corruption is a principle, very wicked, the conduct springing from it may vary from country to country or among individuals, but it remains corruption.
 
Were we really less corrupt than Kenya? It’s funny because Instances of Corruption and embezzlement of public funds are always all over the news in Kenya but in TZ, these things happen in secret. No one knows except those involved! And we entertain ourselves by posting tweets about corruption in Kenya not knowing that we are not different than them.
Mkuu kama upo na mama haina shida tumeshakuelewa na hakuna atakayekupinga ila usitoe maneno ya ajabu ajabu ili tu tukubaliane na mtazamo wako, hapo ni siasa tu imechukua nafasi.
 
Kuna interchange video yake iliwahi kusambaa mitandaoni, ni ya pale baada ya salender Bridge kwenye mataa, ile ndio bab kubwa kama itajengwa, kwa jinsi ilivyo inahitaji mtu mwenye maamuzi magumu kama Jpm kujenga, tuombe Mungu Waliobaki wajitutumue.
Watajengaje wakati wameanza siasa ya kumpoteza JPM kwenye ramani ili wananchi waache mawazo naye twende pamoja na mama, Africa c mchezo aisee kila rais anakuja na yake ya kumchafua aliyepita.
 
Back
Top Bottom