Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Okay, then you have the best.
You win. Hope that makes you feel nice
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]plz no hurt feelings ....enjoy the modernity of this one compare it to your old design
.
Screenshot_20210322-233611.jpg
 
Hivi hizi barakoa zinazovaliwa na 99% ya watu si zinafunika mdomo na pua tu?

Kwa mfano ukiwa umevaa barakoa iliyofunika mdomo na pua halafu aje mtu mwenye mambukizi ya kirusi akohoe pembeni yako halafu vimaji vya kukohoa virukie machoni mwako...si utapata kirusi?

Nimeuliza hivi kwa sababu "tuliambiwa tusishike pua, mdomo na macho" halafu barakoa zinazo pigiwa upatu na kuvaliwa sana ni hizo za kufunika pua na mdomo tu.
Kaka hapa tulipofika corona tulishaishinda kitambo kinachofuata ni kuwafurahisha wazungu tu,angalia death rate,age versus Corona,pia tuangalie death trend ya miaka iliyopita, tuangalie elimu,maisha ya Waafrika mnaweza sema hatuna na rekodi za corona mi naamini kwa maisha yetu Watanzania tungeokotana barabarani kama wazungu walivyotabiri.Angalia mimi nakula bata mwanzo mwisho 😆😆😆 pembeni nna washua ila mtaa wetu uko shwari kabisa sijawahi skia kifo cha corona I swear!!!Toka Corona ianze.
 
Bado nina imani na Mama.
Ni mapema sana kuanza kuvunjika moyo.

Nimekuta pages kibao nikajua labda ni picha zimepostiwa humu kumbe ni lawama kwa Mama!

Magu hayupo na hatakuwepo tena nashangaa kwa nini hamtaki ku-move on au ili muoneoane mlikuwa mnamkubali JPM zaidi yangu/yetu?

Kuondoka kwa JPM kumewaumiza wengi nikiwemo lakini imebidi tukubaliane na matokeo maana hakuna kitu nitafanya/tutafanya.

Inabidi mkubaliane na ukweli kuwa JPM hayupo na hatakuwepo tena.

Kilichobaki ni kumuombea Mama ili miradi yote iliyo anzishwa na JPM ikamilike.

Nafahamu wengi humu mko kama mimi...yaani hamna vyama ila tu ni uongozi wa JPM uliwavutia na sasa mnatamani/tunatamani na Mama apite mule mule.

Msivunjike moyo kirahisi namma hiyo tuungane na Mama kujenga nchi.

TANZANIA KWANZA MENGINE BAADAE.

Mimi huwa sipendi kumkumbuka,maana napata uchungu usio mithirika.
M'badala wake sijui kama tutakuja kupata.
😭😭😭
 
Kaka hapa tulipofika corona tulishaishinda kitambo kinachofuata ni kuwafurahisha wazungu tu,angalia death rate,age versus Corona,pia tuangalie death trend ya miaka iliyopita, tuangalie elimu,maisha ya Waafrika mnaweza sema hatuna na rekodi za corona mi naamini kwa maisha yetu Watanzania tungeokotana barabarani kama wazungu walivyotabiri.Angalia mimi nakula bata mwanzo mwisho [emoji38][emoji38][emoji38] pembeni nna washua ila mtaa wetu uko shwari kabisa sijawahi skia kifo cha corona I swear!!!Toka Corona ianze.
Dunia haijaamua kushinda hiki kirusi kwa sababu ni biashara za wenyewe pia wana agenda zao.

Ipo siku dunia itajifunza kuishi na hiki kirusi kama Tanzania tunavyofanya.

Pumzika kwa amani JPM.
 
Mimi huwa sipendi kumkumbuka,maana napata uchungu usio mithirika.
M'badala wake sijui kama tutakuja kupata.
[emoji24][emoji24][emoji24]
Hapo kwenye kumpata M'badala ni ngumu.

Tujiandae kuwasimulia watoto wetu kuwa hapo zamani za kale alikuwepo Mwamba mmoja mzalendo aliye kuwa anaitwa JPM.

Huku tukiwasimulia namna alivyo pambana kwenye miradi mikubwa ya maendeleo.

Huu umeme ni bei rahisi kwa sababu yake.

Hizi barabara nzuri na nyingi ni kwa sababu yake...alizipambania yeye.

Hizi treni za SGR aliyefanikisha ni yeye.

Unaona huu umeme unaowaka kila kijiji? Yeye ndio alifanikisha.
 
Nikiangalia vizuri nahisi kama mama anaiangalia 2025 so anatengeneza mazingira kwanza ya kurudi, lazima apambane kuwafurahisha wapiga kura, na atawafurahishaje?

1. Atahakikisha pesa zinarudi mifukoni kwa kuwapa kipaumbele wafanyabishara na investors ili kivyovyote pesa irudi katika mzunguko na zijae mtaani wananchi wawe na imani naye.

2. Ataruhusu uhuru wa habari ili kutengeneza trust kwa mabeberu waweze kumsaidia mikopo ili kumalizia miradi iliyobaki cz hawezi kuruhusu pesa iingie mtaani na at the same time akafanya miradi mikubwa ni ngumu sana.

3. Kwenye kutengeneza trust kwa mabeberu ataruhusu baadhi ya mambo ambayo mtangulizi wake aliyapinga hususan katika suala zima la covid, na hata baadhi ya mikataba iliyokuwa ikiwabana waende 50% na nchi especially kwenye madini.

Hayo ni machache tu ambayo naona yanaenda kutekelezwa ili kuhakikisha anarudi 2025.

My Take: Siasa inarudisha nyuma sana maendeleo ya Afrika kwa kigezo cha democracy but hakuna namna cz tulishachelewa waafrika na kufika walipo wenzetu ni ndoto.

Adui mkubwa wa maendeleo ya Afrika is the so called democracy. Huyu mdudu anatumika sana kuvurunda ustawi wa Afrika. Wanasema democracy, hata hawajui kuwa sisi tuna culture tofauti. Wanalazishia na sisi tutengeneze likatuni lenye matiti na makalio makubwa la viongozi wetu kama walivyofanya kwa Trump.
 
Back
Top Bottom