Itafahamika tu soon mana kasi ya mama ktk kubadili yote ya awamu ya tano ni dhahiri but tutarudi hapa tukiwa na jibu moja kwamba pesa zitaonekana mtaani lkn bureaucracy itaongezeka maradufu, hii nchi imechezewa sn ilipaswa ipitie magumu tuliyopitia enzi za Magu zen tuishi maisha bora ya kweli, hata wenzetu walioendelea hawakuendelea kirahisi rahisi tu eti kila kitu ulegeze.
Unatamka kabisa hadharani kwamba mwekezaji asikilizwe, eti sisi ndiyo tunaowahitaji zaidi kuliko uhitaji wao kwetu, mwekezaji gn anapenda kulipa kodi? Mm yangu macho na natabiri huyu mama kuendelea kutoa boko kadri siku zinavyozidi kwenda, subiri muone, we unadhani uongozi mchezo, hizi nchi za kiafrika zinahitaji viongozi waliojitoa sadaka na co viongozi wa kucheka cheka tu na vimisemo misemo, hizi nchi ndizo shamba la bepari so lazima uwe kauzu.
Halafu km utachunguza vzr msimamo wa VP na President ni tofauti, ss sijui itakuwaje yn.