Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,397
Hakuna mfanya biashara anayependa kulipa Kodi,..ebu fikiri watu kama akina messi wanapelekwa mahakamani kwa ajili ya Kodi,wakati wanalipwa mabillioni ya pesa every week..!!!..sometimes hawa walipakodi lazima waminywe walazimishwe kulipa Kodi..lakini hii si bure kuna wafanyabiashara flani flani nawajua wana asili ya ki-asia walikuwa wanaminywa sana katika utawala wa magu kuhusu masuala ya Kodi,hao lazima watakuwa na mkono katika hili
Lakini wakuu tumempoteza mwamba,na hatuna la kufanya..hatuna budi kumkubali,amenifurahisha katika kutuhakikishia kwamba miradi mikubwa aliyoianzisha mwamba(urithi wetu) kwamba itamalizika..mi binafsi naona itatuchukua muda kidogo kuona mega projects zinafanywa,maana hizo zina hitaji uthubutu na msimamo mkali kuzianzisha...
Dah na hilo la covid aisee mama asiturudishe nyuma,japokuwa naona msimamo wake ni thabiti juu ya covid but kuna watu ni kama wanamshawishi..