eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,780
- 16,455
Hapo kwenye kumpata M'badala ni ngumu.
Tujiandae kuwasimulia watoto wetu kuwa hapo zamani za kale alikuwepo Mwamba mmoja mzalendo aliye kuwa anaitwa JPM.
Huku tukiwasimulia namna alivyo pambana kwenye miradi mikubwa ya maendeleo.
Huu umeme ni bei rahisi kwa sababu yake.
Hizi barabara nzuri na nyingi ni kwa sababu yake...alizipambania yeye.
Hizi treni za SGR aliyefanikisha ni yeye.
Unaona huu umeme unaowaka kila kijiji? Yeye ndio alifanikisha.
Very sad.
Japo angemaliza na kipindi 2 tu.
😭😭😭










