Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,121
- 1,249,307
Hii sio avatar yangu pendwa ipo moja ndo nilianza nayo nimeipoteza naisaka nikiipata itabidi muizoee tu. Halafu kwenye vijembe nshazoea😂😂😂😂be free
Safi naona umerudisha avatar yako, hakuna namna hiyo ndiyo utambulisho wako kwa fans wako baki na hyo hyo mana uki change avatar mtu anaweza akakupiga kijembe pasipo kujua ila akiona hyo avatar kuna mda anaweza akakuvumilia, hyo ndio faida ya avatar.

