Ak
a.k.a the dead because he didn't take covid seriouslyThe Great a.k.a Genius.View attachment 1745408
a.k.a the dead because he didn't take covid seriouslyThe Great a.k.a Genius.View attachment 1745408
Ukipata official evidence kua ni corona imemuondoa tag me ?? Naona mumekariri maisha kwamba kila anaekufa dunia hii ni corona kwa vile zamani watu walikua hawafiAk
a.k.a the dead because he didn't take covid seriously
Maza anaruka stepu atakosa naona atakosa hela ya kukamilisha hii miradi ya jpm kwa sababu ni mingi sana ndo maaana watu walikua wanataka aongozewe mda amalize miradi yake sasa mama anarudi kipindi kilkile cha upigajiMama naona anaelekea kwny Expansionary hawezi kuhold hii tight situation.. Watanzania bado tuna ustahamilivu kdg angekausha amalizie hii miradi mikubwa kibabe ikianza kumuingizia pesa angerudi huku maana tayari ana vyanzo vipya ama pesa iliyokuwa inamezwa na miradi ingeingizwa kwny expenditure kwny level ya kuathiri uchumi wa mmoja mmoja
He is dead because of coronavirus and he ain't coming back. Deal with it whichever way makes you sleep better at nightUkipata official evidence kua ni corona imemuondoa tag me ?? Naona mumekariri maisha kwamba kila anaekufa dunia hii ni corona kwa vile zamani watu walikua hawafi
He is dead because of coronavirus and he ain't coming back. Deal with it whichever way makes you sleep better at night

meko ako kwa shetani anachomwa moto ata kama alikufa sababu ya kunyongwa na mate 
kifo ni kifo tuu iwe kwa kugongwa na gari au malaria au kujinyonga au kifiro kama kilichomuua babako vyote ni vifo!He is dead because of coronavirus and he ain't coming back. Deal with it whichever way makes you sleep better at night
Katika wakenya 10...7 wana depression kali.Pambana na Rais wako kwanza keshajinyea uko.
Of all time.....The Great a.k.a Genius.View attachment 1745408

Nikiangalia vizuri nahisi kama mama anaiangalia 2025 so anatengeneza mazingira kwanza ya kurudi, lazima apambane kuwafurahisha wapiga kura, na atawafurahishaje?Maza anaruka stepu atakosa naona atakosa hela ya kukamilisha hii miradi ya jpm kwa sababu ni mingi sana ndo maaana watu walikua wanataka aongozewe mda amalize miradi yake sasa mama anarudi kipindi kilkile cha upigaji
Keep your stupidity by your selfAk
a.k.a the dead because he didn't take covid seriously
0 brainHe is dead because of coronavirus and he ain't coming back. Deal with it whichever way makes you sleep better at night
Takatak ni takataka....mfano ww kwako ni dustbinmeko ako kwa shetani anachomwa moto ata kama alikufa sababu ya kunyongwa na mate
![]()
Sio ndoto mkali tutafika iwe iwaje.... kita eleweka tu.. nisha waambia Tz we a blessed na mfano ulianza na Nyere, akaja Jpm na atakuja mwengine. Lets keep the faithNikiangalia vizuri nahisi kama mama anaiangalia 2025 so anatengeneza mazingira kwanza ya kurudi, lazima apambane kuwafurahisha wapiga kura, na atawafurahishaje?
1. Atahakikisha pesa zinarudi mifukoni kwa kuwapa kipaumbele wafanyabishara na investors ili kivyovyote pesa irudi katika mzunguko na zijae mtaani wananchi wawe na imani naye.
2. Ataruhusu uhuru wa habari ili kutengeneza trust kwa mabeberu waweze kumsaidia mikopo ili kumalizia miradi iliyobaki cz hawezi kuruhusu pesa iingie mtaani na at the same time akafanya miradi mikubwa ni ngumu sana.
3. Kwenye kutengeneza trust kwa mabeberu ataruhusu baadhi ya mambo ambayo mtangulizi wake aliyapinga hususan katika suala zima la covid, na hata baadhi ya mikataba iliyokuwa ikiwabana waende 50% na nchi especially kwenye madini.
Hayo ni machache tu ambayo naona yanaenda kutekelezwa ili kuhakikisha anarudi 2025.
My Take: Siasa inarudisha nyuma sana maendeleo ya Afrika kwa kigezo cha democracy but hakuna namna cz tulishachelewa waafrika na kufika walipo wenzetu ni ndoto.
Kila anaekufa ni corona?? Na haya maradhi mengine hayapo kuna maradhi zaidi ya 500 na hayo hayauwi wala hayapo ni sawa?He is dead because of coronavirus and he ain't coming back. Deal with it whichever way makes you sleep better at night