Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kwann atumie ambayo serikali haijaagiza? anatumia ya kulipia
IMG_1617190265.669966.jpg
 
kwann atumie ambayo serikali haijaagiza? anatumia ya kulipia
View attachment 1739464
Hawa ndiyo maana walimchukia sn Magu mana alikuwa hataki kusikia anapitwa na nchi ya kisenge km hii, ni aibu kwa Tz kupitwa GDP na Kenya hata kama wamefoji, ilitakiwa hata wakifoji basi watukaribie na co watupite, ni aibu mnoo.
 
Wakenya wanasema eti sisi Watz kwenye huu uzi tunampenda Tony254 kwasababu anajipendekeza kwa Watz yn eti Tony anaikataa nchi yake kisa Watz wanamuelewa, very stupid argument ever, but ukweli ni kwamba huyu Tony amekuwa tofauti na Wakenya mana huwa anaongea ukweli ambao Wakenya wengi huwa hawapendi, Wakenya toka wakiwa shule wamekuwa wakiaminishwa kwamba kuongea kingereza ndio usomi wenyewe kitu ambacho sio kweli mana kuna mataifa hayajui kingereza mfano CHINA lkn ndio yanasumbua dunia kwa ss.

Huyu Tony amejipambanua kwmb ni mkenya wa kizazi kipya na kwamba anahubiri ukweli tofauti na Wakenya wengi wenye tabia za kubrag upumbavu kila uchwao, ukweli ni kwamba Tz ya ss sio ile 90s unaweza kuona humu kwenye uzi kuna Watz wako fit mno kwa kila idara.

Nakubali kabisa kwamba tuliyumba miaka ya nyuma ila kwa sasa sisi ndiyo viongozi wa EA mtake msitake na mnaweza kuona kwamba kwa sasa inaongelewa Tz tu kuanzia Afrika mpk Asia na Europe ni Tz tu.
 
hawa jamaa kwao kila kitu ni fursa. Rais wao yupo kimya.. mtu unajiamulia tu kufanya jambo upate hela
Huyu hustler ni noma yaani anakukamua hata siku 'Israili ananyofoa roho yako yaani in exchange of Kshs 8000 ndo anakupa uhai!! Uzuri ni ametoa wheelbarrows kwa hustler wenzie zitawabeba kuwapeleka maziko!
 
Back
Top Bottom