Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MASWALI FIKIRISHI
HIVI JPM ALIKUWA ANAMAANISHA NINI?
1. Mniombee
2. Tumtangulize Mungu kwanza tusije muacha
3. Hii ni vita ya kiuchumi mi nayajua mengi
4. Kufa tuta kufa tu iwe kwa malaria...
5. Chapeni kazi
6. Siku moja mtanikumbuka kwa mazuri tu
7. Msifikiri mnapendwa
8. Tusibaguane kwa vyama, kabila au dini
9. Maendeleo hayana chama
10. Raisi wa wanyonge

Halafu nafunga na Coincidence ya No. 5.
 
Asa hii na pale Msimbazi Brt station kuna tofauti gani au ni hiyo rang nyekundu, maana kama ni bati ni msouth pia
Lazy thinker, pretoria is a fourth tier city in SA and thats not even the best ive shown you.
 
Hapa una differentiate opinion na facts kaka, kuna watu wengi humu, haswa southerners mostly wanatoa maoni ki propaganda ionekane eti ni facts. Some have very little exposure, understand, and have fun. Your weapon is to present concrete facts. Kuna watu wametekenywa na kujichekea , the only thing utajifunza humu ni kiswahili tu, zaidi ya hapo nothing, ni vioja tupu na mijisifa hewa
Kwahiyo wewe humu hujifunzi kuhusu ku run treni ya umeme, jinsi ya ku manage brt system, jinsi ya kuzalisha umeme mwingi ambao ni affordable, jinsi ya kujenga flyovers za kisasa, jinsi ya kuunda meli kubwa, jinsi ya kuondoa slums, kuwa na jiji safi, jinsi ya kuwa na maji safi na salama, jinsi ya kuondoa njaa hahahahaaa zote nilizotaja hapo kwenu hamna so ni lazima ujifunze kwa walionacho na umejifunza utake usitake
 
Hapa una differentiate opinion na facts kaka, kuna watu wengi humu, haswa southerners mostly wanatoa maoni ki propaganda ionekane eti ni facts. Some have very little exposure, understand, and have fun. Your weapon is to present concrete facts. Kuna watu wametekenywa na kujichekea 😂😂, the only thing utajifunza humu ni kiswahili tu, zaidi ya hapo nothing, ni vioja tupu na mijisifa hewa 😂 😂 😂
Cant waste my time kutafutia mtu facts , lakini siwezi nyamazia uongo na ujinga nikiuona. I point it out regardless of nationality. I hate sycophants more than murderers

The other day jamaa ilisema Nigeria is better than SA sababu they have black billionares😂😂😂 wakenya hatuna akili mbovu kama hizo.
 
We mkenya mbona unakuwa kilaza!!!!..tuonyeshe baiskeli za abiria za China,hiyo uliyoweka hapo juu sio baiskeli(bicycle)..hizo ulizoweka hapo ni tricycle,si baiskeli...

Jua kutofautisha kati ya bicycle na tricycle.
🤣🤣🤣🤣 huyo ndio maana hua sishughliki nae
 
Munaeza kujionea kitu alichopost 🤣🤣🤣
Mutasema dunia ni mbaya au watu ndio wabaya
58B543E0-302E-4168-8527-6ABBF30A3449.jpeg
E1A0025E-E40D-4988-83F4-2373B9D537F2.jpeg
D6384F12-EC70-4955-89DF-920A10042175.jpeg

A3357066-4BDE-4782-97CD-4C97DBDB5E11.jpeg

5464F93C-EF59-45CA-9DDB-5B520AD6D12C.jpeg
 
For the culture, kaka komora096 nikienda kisumu lazima ni sample hii greatness. Hawa ndo waanzilishi wa neno "boda boda". Zilitumika kuvukisha watu btwn border ya kenya na uganda. Pioneers.
images (6).jpeg
 
For the culture, kaka komora096 nikienda kisumu lazima ni sample hii greatness. Hawa ndo waanzilishi wa neno "boda boda". Zilitumika kuvukisha watu btwn border ya kenya na uganda. Pioneers.View attachment 1738494
Alaf ndio city munataka fabanisha na arusha nyinyi watu muna akili Sawa sawa🤣🤣👇👇👇👇
BD2F09E0-7FCA-4075-8D72-CAEDF66F514C.jpeg
AD1F5A46-08A9-4EF1-AEA4-08FCB579AE6F.jpeg
CE3A6024-A576-4F9D-8612-400B3CD0ED8D.jpeg
1390DBA0-CE01-4C09-9A8C-3B4A59E8ED39.jpeg
47BD7BCA-62D5-4581-8ECB-1CEC7BD6670F.jpeg
 
Kunahitajika an Economist with track records! Baada ya hizi Megaprojects kukamilika kuna umuhimu wa kujiandaa na kuweka mazingira ya ufanisi wake! mtu anatakayeweza kumshauri Samia Suluhu juu ya ku-stimulate economy through right investments!
Kama vile Mh Rais mama Samia anapitaga humu vile!!




ExtrFclXMAI3RqJ




MY TAKE
again asikosee kwenye uteuzi wa Waziri wa Fedha na Mipango achaguliwe Mchumi na mwenye track record!



CC: Tony254
 
Back
Top Bottom