Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Atoe japo tamko kuhusu ujenzi holela, je we unapenda huu ujenzi wa kipumbavu unaoendelea hapa nchini hasa Dar? Km hupendi je nani anayepaswa japo kukemea ujenzi wa aina hii km co waziri mwenye dhamana.

Ameshindwa japo kutoa tamko la kuzuia ujenzi wa namna hii ss utasemaje tumvumilie waziri goigoi km huyu? Hawezi kazi plus history yake ya upigaji nnayo so simkubali kabisa huyu mzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu siyo kila jambo linakuwa solve immediately kiasi hicho, Suala la makazi holela huwezi kulizuia tu kwa kutoa tamko. Kumbuka wanaogawa viwanja siyo wizara ni halmashauri za majiji, manispaa, miji na miji mdogo. Je hizo halmashauri za majiji, manispaa, miji na miji zina fedha za kupima viwanja kulingana na kasi ya ukuwaji wa miji? Kama hazina ina maana waziri asitopishe ujenzi katika squarter area halafu then hupimi viwanja unategemea utaeleweka sana na wakati huo huo bosi wako (rais) anahitaji kura. Kabla ya JPM miji na majiji na manispaa zilikuwa na masterplan ya hivi karibuni? Viwanja havipimwi bila masterplan ya mji na kuandaa masterplan inachukua muda mrefu kidogo. Haya mambo tunayaongelea kinadharia zaidi ila ukienda kwenye ground ndio maana nasema hii wizara ni ngumu. Hata hivyo wizara imeweza kufanya master plan ya majiji na miji kwa miaka 20 au zaidi ijayo. SI-SUPPORT UJENZI HOLELA ILA PIA HILI TATIZO LA MAKZI HOLELA HALINA SOLUTION YA MUDA MFUPI INACHUKUA MUDA!
 
ExkF5-YWgAI4CUC






MY TAKE
Naona safu imepanguliwa wale jamaa wenye miili mikubwa waliokuwa wakisukuma watu ovyo nje!


labda wapo off for a while sababu ya msiba au sababu ya hio location (ikulu) .. kuna yule mmoja hapo nyuma bado yupo
 
I miss you JPM, I spent more than a half an hour looking at this picture I don't know why.

I wish leo ungepokea ile report, kuna maneno yako huwa unayaongea ambayo huwa husomi sehemu yanatoka kichwani na hukosei, mic u dady View attachment 1737226

Sent using Jamii Forums mobile app
I feel you, son.

The only thing, these very silly Africans keep looking and talk so down upon us is state of our economy - a state, we voluntarily chose to be in for the sake of other's freedom.

We never once had leaders most African countries have always had, but we are almost always a beacon of hope, with an exemplary leadership to reckon with.

Be happy!

There were far much greater leaders than Magufuli. Kikwete and his gang of criminals had denied us, possibly, the best president we never had: Dr Salim Ahmed Salim.

Be happy!

Had not for our intellect, most of the relevant institutions couldn't have been established, such as: AU, EAC, SADC.

We are the foundational Pan Africanists.
 
Back
Top Bottom